Facial Expression

hicho ndicho kikosi kazi cha kuomba misaada world bank! kila mwaka lazima waende kwenye mikutano ya kipupwe washington dc! katika hiyo picha kuna mtu mmoja mweupeee yupo pembeni ya governor,huyo ndio sterring wao kila mwaka hakosi(simtaji kwa jina)
 
Safari_ni_Safari hizi picha niza jana jioni kwa saa za USA,vp na wewe umeenda nini kwenye mikutano ya kipupwe this year!nautuambie mwaka huu wamechangia asilimia ngapi ya bajeti kwa serikali sikivu
 
Last edited by a moderator:
Lugha ya malkia itakuwa inahusika hapo. Wanalazimisha kuelewa lakini inaonekana ngoma nzito.
 
** Mkono wa kutoa misaada ni bora kuliko mkono wa kupokea **
Yaani wajamaa hadi lini tutabaki OMBA-OMBA babasaidiya mamasaidiya !!
wamekurupuka hao
 
Wanaomba huku wamevaa suti za GUCCI na wamefikia ASTORIA HOTEL........ila hata hao watoa misaada nao mazuzu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…