Facebook wamefeli kuhusu tukio la Ufaransa

Mbona uchaguzi wa juzi Tanzania waliweka hiyo Icon
 

Si hakika kama umekosea
 

Kama wabovu iweje muwaombe msaada?
 
Hahaha unadhani wanakujali ndugu yangu?
Nawashangaa akina mimi mie wanaodai kupeleka malalamiko ya kushindwa kwa mabalozi wa Ulaya kila leo wanapiga hodi kwenye ofisi za jumuia ya ulaya ,wakidhani hao ndio watatatua matatizo yetu,wakitoka tu maofisini huku nyuma wanang'ong'wa.
 
ndorooobo...wewe inawezekana hats JF ulimtafuta jirani yako akuunganishe... mpaka sasa hivi hujui hata ABC ya Facebook???
unataka kuniambia kuwa na facebook maisha yanakuwa yamekamilika
 
ule mtandao ni mzuri sana tu sema kwenye kenge na mamba wapo mbona humu kumevamiwa
presha presha, huwa nikiona post za jirani zangu kwenye hio kitu - umbeya unakuwa mwingi sana kuliko mambo ya msingi
 
Nilikuwa na sababu kadhaa za kufuta account yangu ya fb na hii nyingine.Africa is for African,Facebook is for ???.Confirmed I am going to delete it.
 

Nimesoma hii comment nimeamua kutoendelea kupekuwa mjadala, umemaliza kila kitu
 
Jamii forum inatosha hizo zingine ni kehelehele chako tu...!
 
Unanitonesha mkuu, wengine tunaonekana wa kuja kutofahamu hio kitu aisee

Kinachonisikitisha ni kuwa hao vijana wa fb wengi wamevamia humu pamoja na vitabia vya kigeni kiasi cha kuwafukuzilia mbali watu makini wa jukwaa hili!
 
Kinachonisikitisha ni kuwa hao vijana wa fb wengi wamevamia humu pamoja na vitabia vya kigeni kiasi cha kuwafukuzilia mbali watu makini wa jukwaa hili!

Upo sahihi kabisa, mleta mada anajaribu kutuonyesha ni kwa vipi tulivyotumbukia kwenye kasumba bado tunachekwa, and huwa najaribu kuchungulia fb ya jirani yangu - huoni sioni cha maana zaidi ya umbeya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…