Facebook Threatens To Block Uganda Over Anti – Homosexuality Bill

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,059
2,000
Written by Jeff Omondi | 04 December 2012 | Kenya

Facebook HQ might soon reach a decision to scrap Uganda off its list of countries following the country's stance on homosexuals. Most recently, Uganda has had an anti-gay Bill tabled on the floor of its Parliament and if passed it would see homosexuals face harsh penalties.

Well, it seems the US is not taking this lightly and as such gay rights activists in USA have pleaded with Mark Zuckerberg to make sure Uganda conforms to the set patterns of Facebook as an upholder of human rights. To the activists, Uganda has violated many Facebook clauses and needs to be banned for some time. Apparently, Zuckerberg has said that Facebook will be releasing an official statement soon as far as Uganda is concerned.

ac7f725f7b399b40d811c9174cfc499b_M.jpg

Facebook has also outlined a method it will use if it is to go ahead with banning all Ugandans. This means whatever account was opened up from Uganda won't be accessible to its users. The other method will be the use of MAC addresses to make it impossible for computing devices with Ugandan MAC addresses to access the official Facebook site.

If the move to ban Uganda is implemented, many corporates that seek to build their brands on the social site will experience a major setback.
 
TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
18,115
2,000
tatizo hujaweka chanzo cha habari, hivyo kutilia shaka habari hii. Lakini Kama huo ndiyo msimamo wa Facebook wajue siku watakavyo iondoa/izuia Uganda kisa wanatetea ushetani wajue ndiyo utakuwa mwisho wa mimi tumia mtandandao huo. Na nina imani nitapata wafuasi wengi kujiondoa facebook.
 
mkuu hii habari ni ya ukweli na ina source nyingi,si unajua wale waanzilishi wa facebook,kuna mmoja aliolewa na mwanaume mwenzake juzi juzi tu,pia wakaweka kipengele cha kuwa na relatioship kati ya mwanamke na mwanamke,au mwanaume na mwanaume,na uganda wanataka kutunga sheria ya kunyonga mashoga na hiyo ni hatari zaidi ata cameron waziri mkuu wa UK na obama na nchi nyingine wamepiga kelele suala la uganda na huo muswada
 
Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,066

Yaani Facebook nilishatoka tayari anyway too much drama.Wamarekani kwa kuingilia culture na mambo ya watu.homosexual is wrong period
 
Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,066
2,000
mkuu hii habari ni ya ukweli na ina source nyingi,si unajua wale waanzilishi wa facebook,kuna mmoja aliolewa na mwanaume mwenzake juzi juzi tu,pia wakaweka kipengele cha kuwa na relatioship kati ya mwanamke na mwanamke,au mwanaume na mwanaume,na uganda wanataka kutunga sheria ya kunyonga mashoga na hiyo ni hatari zaidi ata cameron waziri mkuu wa UK na obama na nchi nyingine wamepiga kelele suala la uganda na huo muswada
Huyo zuckerberg mwenyewe gay .ameoa huyo Priscilla white American closeted gay kwa kuoa Asians .Obama mwenyewe anaona ok to be gay
 
October

JF-Expert Member
Oct 5, 2009
2,145
1,195
Hii Habari ni ya Kweli.

Soma Hapa

Nimefurahishwa sana na baadhi ya comments za waganda. Wako Tayari kuachana na Facebook kuliko kukubali huu ujinga wa Magaribi.

Sijui Wabunge wa Tanzania wanasubiri nini wasipeleke Mswada kama huu Bungeni.
 
TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
18,115
2,000
mkuu hii habari ni ya ukweli na ina source nyingi,si unajua wale waanzilishi wa facebook,kuna mmoja aliolewa na mwanaume mwenzake juzi juzi tu,pia wakaweka kipengele cha kuwa na relatioship kati ya mwanamke na mwanamke,au mwanaume na mwanaume,na uganda wanataka kutunga sheria ya kunyonga mashoga na hiyo ni hatari zaidi ata cameron waziri mkuu wa UK na obama na nchi nyingine wamepiga kelele suala la uganda na huo muswada

Blackbold:Basi hii ni hatari

Redbold: Ila mkuu ni meenda facebook sasa hivi kwenye setting ya Relationship status sikukuta kitu kama hicho, labda nisaidie kutambua , nimekuta list hii:
-Single
-In a relatiship
-Engaged
-married
-It's complicated
-In an open relationship
-Widowed
-Separated
-Divorced
 
Salathiel m.

Senior Member
Mar 12, 2011
185
195
Facebook ni ushetan tu haina maana yoyote waache wafunge tu napo tutaishi vzuriiiiii,,mbona babaangu ayupo fb lakn anaenjoy maisha? Wakwende zao
 
sosoliso

JF-Expert Member
May 6, 2009
8,534
2,000
Kwani kabla ya fb Uganda walikuwa na tatizo..? I think they can do better without fb.. Kwanza fb inachangia ngono kwa acilimia kubwa tu.. so its better wakii-ban..

stupide trou du cul..
 
kiLimIlire

JF-Expert Member
Apr 8, 2012
282
1,000
facebook ina uaribifu wa maadiri kuliko kawida,na shetan anautumia vema mtandao huo, haishangazi iwapo uamuzi huo utafikiwa japo haumdhuru mtu yeyote makini
 
Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,687
2,000
Hii Facebook haina maana kabisa kama mambo yenyewe ndio haya..
 
Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,059
2,000
Huyo zuckerberg mwenyewe gay .ameoa huyo Priscilla white American closeted gay kwa kuoa Asians .Obama mwenyewe anaona ok to be gay

yani uganda wako kwenye hali mbaya,European Union na wanachama wake wamekata misaada kwa Uganda,na haya mambo ya kupinga ushoga hazarani yatawaweka pagumu sana,hali ya maisha itakuwa mbaya sana,sijui itakuwaje
 
elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,069
2,000
haa watatengeneza social network yao kama wachina kwani shida iko wapi. hawa wazungu mashetani yani wanataka harabu culture za watu wakisingizia human rights, right gani mtu kuharibiwa ndukumu kama ni hivyo basi hata kula dawa za kulevya iruhusiwe ni human right kuenjoy atakavyo.
 
Pharaoh

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
843
250
Ukitaka biashara yako iende vizuri haraka waajiri ******* wana mawasiliano mazuri na wateja hasa wanawake
 
Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,066
2,000
haa watatengeneza social network yao kama wachina kwani shida iko wapi. hawa wazungu mashetani yani wanataka harabu culture za watu wakisingizia human rights, right gani mtu kuharibiwa ndukumu kama ni hivyo basi hata kula dawa za kulevya iruhusiwe ni human right kuenjoy atakavyo.
Kitendo cha raisi wa marekani kusema it's ok to be gay kitatuharibia wanetu yaani
 
Tai Ngwilizi

JF-Expert Member
Apr 20, 2010
781
170
YUp! wanasema wao hawali fb wala fb haijawahi kutoa hata mosquito net moja kwa wanawake wajawazito wa Rakai district, so why should they care?
yaani wanaowapa ugali wawasumbue roho zao , na wanaowapotezea muda wao by "social" networking pia?????
 
elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,069
2,000
Kitendo cha raisi wa marekani kusema it's ok to be gay kitatuharibia wanetu yaani

Natalia naona tunapoelekea hili swala litakuwa ni lazima na atakaye kataa itakuwa kama vile anatengeneza siraha za maangamizi atawekewa vikwazo kama iran.
Huku mtaani waume na baba na watoto wa watu gays kisirisiri.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom