shaks001
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 1,246
- 1,071
Ok mkuuku-generate traffic kutoka facebook
Ok mkuuku-generate traffic kutoka facebook
Hiyo ya kwako itakuwa ni personal account ambayo maximum number ya friends ilikuwa/ipo 5000 na sidhani kama kuna njia ya mkato! Page ni tofauti na personal account. Kwahiyo, kama hiyo akaunti unaitumia kibiashara zaidi au nahitaji kuwa na watu wengi zaidi; unachotakiwa kufanya ni kufungua page ambayo hakutakuwa na hiyo limitation.Mimi naomba nifundishe marafiki wamejaa na bado wengi wanaomba urafiki sasa inaniambia niwapunguze niliokuwa nao ili niwaingize sasa nami ata sioni wa kumpunguza nifanyeje
Nahitaji page mkuu unaweza kunisaidia?Kwa Tz publishers wanaotaka kupata traffic kupitia fb nauza facebook page yenye 52k likes.
Bei maelewano.
Pia mwenye page above 800k likes na anauza tuwasiliane
Aliye tayari ani inbox
M.Byabato