kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,303
- 6,123
Tumia facebook lite mkuu ni ndg sana ina kama 2 mb hvMimi niliifuta kabxaa Facebook kutokana na Bugs zao
Yaani kila Mwezi inataka UPDATE tu na Mb zake kuanzia 200 na kuendelea
Sumtime inakuwa nzito unapoi Update kiasi kwamba inakulazimisha uifanyie Update kwa kutumia WIFI [emoji1321]♂️