Facebook multi page/Group poster

Facebook multi page/Group poster

bongompya

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2015
Posts
224
Reaction score
43
Wakuu Mimi ni mtaalamu niliyebobea kwa masuala ya Google AdSense na Facebook multi poster, Ninatengeneza AdSense account kwa bei Nafuu kabisa.

Pia natengeneza mifumo kama vile Facebook multi poster na vingine vingi ubavyohitaji,tuanze kuwasiliana sasa kwa namba 0687 535650

Nauza account ya Facebook Multi page/ Group poster. Kwa yeyote anayehitaji tuwasiliane, just PM me.
 
kwa beij nafuu? hv mtu mwenye milioni 20 bei nafuu kwake ni sh ngapi? au mtu mwenye 5000 bei nafuu kwake ni sh ngapi?? ndio maana kuna watu wana simu ya tsh 25000 na wengne wana simu ya 700000, back to topic
taja bei ya huduma zako,sio unaleta habari za "bei nafuu"
 
niPM or piga 0656540271 utapata AdSense kwa 60,000 tu
 
Hivi nawezaje kupata followers wengi kutoka magroup ya Facebook nje ya nchi, kwani nataka kufanya internet marketing ya biashara zangu .
 
Nataka nitengeneze free Facebook business page kwa hiyo naomba mtaalamu Wa hizo mambo
 
Unafahamu jinsi ya ku bypass facebook phone verification?
 
Wakuu Mimi ni mtaalamu niliyebobea kwa masuala ya Google AdSense na Facebook multi poster, Ninatengeneza AdSense account kwa bei Nafuu kabisa.

Pia natengeneza mifumo kama vile Facebook multi poster na vingine vingi ubavyohitaji,tuanze kuwasiliana sasa kwa namba 0687 535650

Nauza account ya Facebook Multi page/ Group poster. Kwa yeyote anayehitaji tuwasiliane, just PM me.
Weka bei ya mult poster
 
Back
Top Bottom