mbona mie sitongozwi,mtu unaweka picha za mauzo fb unategemea nn,mwanaume rijali mwenye tamaa lazima atupie vyombo,uamzi ni wako
nipm jina utumialo nianze michakato
jamani kwa nini mtu anakuadd on fb then unamkubalia uzuri mnakua marafiki hamufiki hata 2 weeks or mwenzi anasema anakupenda si mmmoja wala kumi na moja wote katika list yangu wengi nawajua ila ndo hayo hayo. hiii inakua kwa nini nataka kuachana na fb nijitoe hasa naona haina maana. Kwa kizazi changu cha baadae sitaruhusu watumie. Au wanashawishika na jina la country lol ulaya huji kwa kumpata mwanamke mtu aje kwa nguvu yake tusipeane heart attack