Facebook Kufungwa?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Facebook Kufungwa??

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by kaeso, Jul 13, 2012.

 1. k

  kaeso JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kuna tetesi zimeenea huku mtaani kuwa FACEBOOK inafungwa tarehe 15 July 2012. Kuna ukweli wowote wanaJF??
   
 2. Kibwebwe

  Kibwebwe JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 797
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Sasa povu la nini hapo ikifungwa ifungwe salama
   
 3. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,168
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Face----book ndo nini?
   
 4. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Uliwekeza bei gani kwamba ikifungwa unapata hasara??wabongo kwa dimandi zisizo za msingi!!
   
 5. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Bora waifunge tu maana hakuna mwanaJF ambae ni member wa facebook, kwa hiyo watakaopata shida ni masharobaro wanaopost vipicha vyao huko kujionyesha
   
 6. CHABURUMA

  CHABURUMA Senior Member

  #6
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 152
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wacha waifungie haituhusu§#
   
 7. Imany John

  Imany John Verified User

  #7
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,776
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Kauli yako inaudhaifu.
   
 8. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  kwa amri ya IGP Mwema sio?
   
 9. YEYE

  YEYE JF-Expert Member

  #9
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Unawafahamu members wote JF?
   
 10. conveter

  conveter Senior Member

  #10
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  fesbuku iliundwa ili kuelewa kwa undani kabisa maisha ya kila individual in each continenti na kuinfluence aina flani ya maisha. research imekamilika hivyo 15 jully fesbuku will be closed.:israel:
   
 11. Arvin sloane

  Arvin sloane JF-Expert Member

  #11
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 963
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Acha projection sema wewe haupo facebook ukisema member wa jf hawapo facebook una uhakika?
   
 12. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #12
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,369
  Likes Received: 6,551
  Trophy Points: 280
  kamtandao ka CIA kupata info za watu kirahisi..
   
 13. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 771
  Trophy Points: 280
  Fungia kabisa uchafuu na u****e huo
   
 14. sakapal

  sakapal JF-Expert Member

  #14
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,824
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Ndoa nyingi zitapona na vijana watabaki na mtandao wa bbm tu maana now kuna homa ya blackberry bbm kweli ulevi sio lazima ukae baa
   
 15. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #15
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Acha na ifungwe! Inakuhusu nini wakati wewe ni member wa JF?
   
 16. Iron Lady

  Iron Lady JF-Expert Member

  #16
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 4,079
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  kwa hapa ukweli mtupu
   
 17. Iron Lady

  Iron Lady JF-Expert Member

  #17
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 4,079
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  wanatisha tu ikiwa kweli waache waifunge haina ishu ingekuwa JF inataka kufungwa ningeumia maana hapa napata zaidi ya hao wakipatacho katika FB
   
 18. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #18
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,217
  Likes Received: 8,290
  Trophy Points: 280
  kwanini usianzishe stutus yenye swali kama hilo kule kule FB?ungepata jibu haraka sana.
   
 19. Shagihilu

  Shagihilu Member

  #19
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 61
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  kaeso,
  Huo ni uzushi tu ulotolewa na watu na binafsi sijui tetesi hizo zilikoanzia.
  Hawa jamaa wanatengeneza fedha kubwa sana kutokana na idadi kubwa ya watumiaji iliyonao mpaka sasa
  na wanaendelea kuongezeka kama njugu. Kwa hiyo katika suala zima la masoko makampuni mengi wanaitumia sana katika masoko, na ukiacha tu makampuni hata wanasiasa na wengineo wanatumia sana mtandao huu kwa ajili ya masoko.
  Kuna watumiaji wanajidanganya kuwa ukiwa hutumii facebook basi uko salama kuwa taarifa zako hazitajulikana! Ukweli ni kwamba mtumiaji yeyote wa Internet hayuko salama. Usalama wa mtu unatofautiana kutoka mfumo mmoja kwenda mwingine lakini ukweli utabaki pale pale kwamba mtumiaji yeyote wa Internet hayuko salama kwa sababu kitendo cha kutumia Internet automaticaly umeshajiweka wazi duniani!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...