Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,734
Kutokana na mahojiano yaliyokuwa yakifanyika kwenye kituo cha radio cha BBC, kuna habari kuwa mtandao wa kijamii wa facebook uko katika mchakato wa kufungua benki! Taarifa zinatonya kuwa facebook wanawasiliana na benki kuu ya Ireland ili kupata kibali cha kutoa huduma za kibenki kupitia mtandao wao wa facebook.
Wale watakao fungua akaunti za kibenki, wataweza kutumiana hela pamoja na kununua vitu online kupitia kitita ambacho watakuwa wemejiwekea kwenye akaunti zao... Huduma hii haitakuwa ngeni sana hasa kwa nchi za Afrika Mashariki ambazo zimezoea kutumia huduma za kuweka, kutuma, kupokea au kununua bidhaa kwa kupitia mitandao kama
tiGO pesa, Mpesa na Airtel Money...