Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 853
- 1,639
Watu wawili kati ya watatu walisema wamekutana mara kwa mara na maneno ya chuki, kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Ipsos kati ya Agosti 2022 na Septemba 2023. Utafiti huo ulihusisha jumla ya watu 8,000 kutoka nchi 16 zilizochaguliwa kwa sababu zilikuwa na uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka 2024.