Facebook inaweza kujikuta kwenye kesi na logo ambayo ni kampuni nyingine

umewahi kuishi hata south africa ! tu.

wenzetu kupenda sheria ni hatari .

huku kwetu unaweza kula mkeo mda unaotaka na asikufanye chochote ila kule ukifanya hivo hata kama unawatoto kumi naye unakufungulia kesi ya kubaka.
Metaverse ya Facebook ipo since 2007
 
sijui kwa nini facebook alikurupuka kutengeneza logo ambayo kumbe ni ya kampuni nyingine.

hawa watu wanamsubiria kutambulisha na kumfungulia kesi waje kumfilisiView attachment 1993456
View attachment 1993457
Mleta mada kuna kitu hukijui. Iko hivi;
Hii nembo au symbol

inaitwa "infinity symbol". Hii ni logo ambayo haimilikiwi na MTU yeyote yule, its a mathematical symbol thus anyone can use it.

Ni kama vile alama ya "+" ambayo haimilikiwi na MTU ,yaani hakuna mwenye hati miliki ya nembo hizo.

Alichokifanya mmiliki wa facebook ni kuongeza jina la kampuni yake (METAVERSE) kwenye nembo ya "infinity".

Zuckerberg ana akili na wala hajakurupuka. Hata wewe pia uko huru kuanzisha kampuni yako na ukaipa jina unalotaka na ukaitumia nembo ya "infinity" bila ya kusumbuliwa na MTU yeyote sababu nembo hii ya "infinity" hakuna anayeimiliki hapa duniani.
 

unaweza kutumia nike au jodani
 
unaweza kutumia nike au jodani
Swali zuri mkuu. Nina mfano wa logos za labels maarufu za muziki zilizokuwa inspired na Makampuni makubwa tu, Jordan (Jumpman logo) na Rolls Royce


Jordan Logo kama unavyoiona hapo juu.


Logo ya Never Broke Again, LLC Ni logo ya Gang la wauaji na Label yamuziki ya msanii NBA Youngboy.

Logo ya Rolls Royce inafuata, ikifuatiwa na logo ya the Dreamchasers ambayo ni label ya msanii Meek Mill.



 
Kwahyo hata Nike unaweza kuikopi kwasababu Ile Ni tick Tu?
 
Kuwa 'inspired' ndo kuiba? We jamaa.!
Soma hiyo sentence hujaielewa vizuri , soma paragraph nzima ndo utaelewa , 'may be they will be inspired by our data too' yaani kama wameweza kuiba logo , maana yake wanaeza iba hata data zao pia , case framing inaanzia hapo.
 
Isome hiyo paragraph yote ,' inspired' iliyotumika hapo na maelezo yake ya mbele , hazina maana ya jambo jema
 
Kwahyo hata Nike unaweza kuikopi kwasababu Ile Ni tick Tu?
Kwani alama ya tiki ina haki miliki? Chenye haki miliki ni neno "NIKE" lakini ile alama ya tiki hakuna anayeimiliki.

Fahamu kwamba kuna symbols au alama ambazo ni universal yaani hazimilikiwi na mtu au kampuni yeyote ile. Mtu yeyote anaweza kuzitumia alama hizo kwenye jina la biashara yake.

Wewe unaweza ukaanzisha kampuni yako ya viatu na ukatumia alama ya tiki ili mradi tu usiviite NIKE utakuwa hujavunja sheria.
 
Nike Ni kisukuma Kwa Kiswahili maana yake 'nishuke'

Je! Msukuma akianzisha kampuni yake akaiita nishuke Kwa kisukuma (NIKE) halafu akaweka alama universal ya tiki Atakuwa amevunja sheria?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…