mama dunia
JF-Expert Member
- Dec 22, 2011
- 420
- 84
Hi wanateknolojia, mi natumia macbook air 13'.. sasa tatizo langu ni kuwa ninapo click kwenye facebook yani hapo juu, facebook haiji ila zingine zote zilizopo hapo juu zinakuja, tatizo inaweza kuwa nini, nahisi kama nimelock labda lakini sijui ni unlock vipi, pealse help
mama dunia
mama dunia