Facebook ina wanachama wengi nchini tanzania

Facebook ina wanachama wengi nchini tanzania

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,113
Reaction score
34,953
Kwa mujibu wa mtandao unaohusika na utoaji takwimu za matumizi ya mitandao ya kijamii duniani ''socialbakers'', Tanzania ina watumiaji active (Monthly Active Users ''MAU'') 693,080 kila mwezi…
Idadi hiyo inaifanya Tanzania nchi ya 94 dunian
i kwa utumiaji wa mtandao huo wa kijamii… Takwimu hizo zinaonesha kuwa asilimia 71 ya watumiaji nchini ni wanaume na asilimia 29 ni wanawake.
Kundi kubwa la watumiaji wa Facebook Tanzania I wale wenye umri kuanzia miaka 18-24 ambao idadi yao ni 295 020 wakifuatiwa na wale wenye umri kuanzia miaka 25-34...


#by admin Zidane Tanzi




 
Back
Top Bottom