facebook imeniponza...

facebook imeniponza...

Nilipoiona hii habari na aina ya uandishi, binafsi nikaitilia mashaka na kama kawaida yangu nikalazimika kuanza kufanya UPEKENYUZI na UFUKUNYUKU ili kujiridhisha.
Mwendabure si sawa na mkaabure, nami nikabahatika kupata sehemu zifuatazo ambazo habari kama hii imetokea na ni comment ya mdau wa huko ajiitaye Cox Dawa Yao, ​ambapo bwana huyo hizi habari huziita Majanga.

Link No. 1
FB Imeniponza

Angalieni comment iliyorushwa muda huu: 2012-11-19 18:09:00 na mtu anayejiita Cox Dawa Yao

Link No. 2
FB Imeniponza
Hiyo ni link nyingine ambayo huenda mleta hii mada hapa jukwaani ameinakili kutoka huko na kuiweka hapa, na iliwekwa huko na mtu yuleyule Cox Dawa Yao.

USHAURI:
Jamani tuacheni habari za kucopy na kupaste ambazo hazina ukweli wowote zaidi ya utunzi kama ilivyo hadithi za kina Shigongo.
Mnatumalizia wino wa keyboards zetu bure kwa siye kuhangaika kutoa ushauri kumbe ni habari za vijiweni tu.

 
uchunguzi wangu binafsi unanionyesha kuwa watu kama nyie ndio hamtumiagi kabisa zana!

Uchunguzi wangu binafsi unanionyesha kuwa watu kama nyie huwa mnaitoboa condom halafu mnajipa moyo mmetumia Kinga..!
 
Mwanzoni umetiririka vzur nikawa nakuelewa na kuona ubora wa topic yko...huku mwishon umeweka bongo movie kidogo ikafanya ukali wa topic yko kudrop!....tunapenda vitu real tujifunze sio umahiri wa kukaa kitandani na kutunga story,

kweli huyu mtoa mada muongo pengine anasoma kaole! alafu mbona hata matumizi ya L & R hajui? bila shaka atakua ametoka kwenye container jipya la hiv karbun frm 4
 
ni hadithi yenye mafunzo hasa kwa sisi vijana
 
Nilifikiri unaelezea yaliyokukuta lakini haya yaninifanya niamini ni story ya kutunga.1.Wale wadada wakakuambia huwa anakwenda kujiuza usiku na wewe ukaamini kwani alipokuwa anakuacha alikuwa anakuambia anafanya kazi gani?.....hata kama ni malaya alikuwa ameshapata wa kumpa dozi au alikuwa anafuata pesa ya matumizi ya kuku care wewe?2.Umesema ulipoteza fahamu mpaka alipokukuta yule dada upo katika hali hiyo akakuuliza ukamjibu...je uliwezaje kumjibu na ulikuwa umepoteza fahamu?,vinginevyo tunashukuru kwa somo zuri ulilotupa.
3.Eti majirani wakaniambia nenda kwenye droo yake utakuta vidonge vya ARV nikaenda na kuvikuta kweli.Here there is no logic in this statement.Walijuaje vidonge vipo kwenye droo au waliZOOM.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom