Facebook Account msaada wako kwenye Hii ?

Facebook Account msaada wako kwenye Hii ?

snipa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
4,523
Reaction score
2,165
Wadau account yangu ya facebook ilifanyiwa madhambi nna uhakika ni jamaa wa Tunisia!
Wakadelete picha na kila kitu cha kwenye account yangu!
.
Sasa sielewi baada ya hapo kama wali ridhika au laa ! Wakamua wachange na lugha kabisa ! Lugha ambayo hata sielewi elewi!
.
Nilifanikiwa kuirudisha mikononi mwangu kinguvu pia kama walivyofanya wao!
.
Lakini kinacho nitatiza ni wao facebook hii hali imeanza jana! Nikijaribu ku log in napewa ujumbe huu!
.
Code:
Remote server or file not
found
You tried to access the
address https://
m.facebook.com/?_rdr,
which is currently
unavailable. Please make
sure that the web
address (URL) is correctly
spelled and punctuated,
then try reloading the
page.
Make sure your
internet connection is
active and check
whether other
applications that rely
on the same
connection are
working.
.
Sasa sijui account yangu hawataki ni access na IP address yangu hii mana hata sielewi
Lakini nnachoomba kwenu nyinyi wadau ni kwa mtu yeyote yule atakae pata access anibadilishie lugha ! Mana mimi sijui facebook wameona IP address yangu ina account nyingi mana hata sielewi!
.
Email= d3ng3roushack3r@gmail.com
password= #QWERTY2013QWERTY #
.
Natanguliza
 
Sio kwamba hao hackers wame DEACTIVATE hiyo acc?
 
Sio kwamba hao hackers wame DEACTIVATE hiyo acc?

.
Hapana kaka account ipo active!
.
Na mpaka sasa fb wananitumia emails za kutafuta malafiki!
.
Yaani nilichokifanya baada ya kuichukua nikuchange email address ya account!
.
Na nikafanya password reset ! Kupitia email hiyo! Na cha ajabu facebook wakinitumia massage kwenye email zinakuwa upside down! Text
.
Na kwamfano nikijaribu kufungua kwakutumia simu inagoma ! Na facebook naikosa kabisa kiujumla mpaka nifanye clearance ya cookies!
.
 
Back
Top Bottom