husisahau kwamba ni wewe utakayeweza kumfanya mwanaume kuwa vile unavyotaka, trust me akili zao ndogo sanaaaaaaa. hawana ujanja kwa lolote, they only need guidance!!!. hahahah
Men never speaks the truth my dear
hamjui kutuuliza,mfano kama mii kuna vitu hadi natamani kuulizwa ila mpaka leo sijaulizwa..change your mindset sisi niwarahisi mnoo
lara1Not all men are like Adolf Hitler despite he was man! Wengine twasema cha msingi you should be a woman o'ma'level siyo huwezi ata nichalellenge afu unajifanya kunidadis jifunze kutafuta mwanaume wa level yako ukimuchallenge anaweza kwambia everything!Hahahahahaaaaaaaaaaa! DO YOU REALLY EXPECT THE MEN TO TELL THE TRUTH? Hell no! You want the truth find it else where! Mwanaume takwambia uchotaka kusikia.
Mmmh hapana u men never say the truth,nna experience kwa kwel nshawah kukaa na mwandani wangu akaishia kunidanganya badala ya kunambia ukweli
Wanaume wakwel wapo hla n wachache saaaaaana ukimpata fanya uwezavyo asikupokonyoke cz n wchache saaaaaaaaaana nw days!
Try to tell your girl she is getting fat, the weave looks ugly on her, and you prefer her in long skirts than minis cause her legs are too thin. Try that little truth and see where it gets you.
Patachimbika labda kama umemchoka truth za hivyo tunawapaga wakizingua kama bye bye au lala salama...!
Sweety! Think like a man! They ain't stupid just playing the fools card to make you think you won but it was all part of their plan
lara1Not all men are like Adolf Hitler despite he was man! Wengine twasema cha msingi you should be a woman o'ma'level siyo huwezi ata nichalellenge afu unajifanya kunidadis jifunze kutafuta mwanaume wa level yako ukimuchallenge anaweza kwambia everything!
Men never speaks the truth my dear
a very good thing, hakuna elimu wala level kwenye mapenzi . wote tuko sawa. kitu mapenzi hata mtu mzima anakuwa mtoto. thats wats up!!
a very good thing, hakuna elimu wala level kwenye mapenzi . wote tuko sawa. kitu mapenzi hata mtu mzima anakuwa mtoto. thats wats up!!
unaona? narudi palepale inawezekana alikuwa anaeleza ukweli, ila kwasababu wewe unapenda kusikia maneno fulani then hana jinsi zaidi ya kukwambia unachotaka kusikia
Moja ya vitu nilivyojifunza ni kuwa huwezi ishi mda mrefu na mwanamke bila kumdanganya hata kama uo ukweli ni kwa ajili ya kujenga uhusiano wenu lakini ni bora umdanganye kuliko kumwambia ukweli.