Kuna wanawake wengine au wasichana bila hata kujua, wamejikuta wakipoteza wanaume wanaowapenda katika maisha yao.
Kwa sehemu kubwa, wanawake huwa hawanatafuti habari, taarifa au yanayowahusu wapenzi wao kutoka moja kwa moja kunakohusika.
Unajua wanachofanya? Watauliza wanawake wenzao, marafiki zao, wataalamu wa mapenzi, wanasaikolojia na kuamini kila watakachoambiwa ilimradi tu imani iko pale kwamba ule ni msaada tosha kwa mahusiano yake nyumbani.
Na wakati wanaacha sehemu husika, ambayo anaweza kupata kila habari bila gharama, bila usumbufu, bila kupoteza wakati na sio kwingine zaidi ya kukaa na mpenzi wako, kuongea nae taratibu na kujua zaidi ana wazo gani juu ya mahusiano yenu.
Anajisikiaje na kutafuta mambo mengi yanayomuhusu yeye kama ni mtu wa aina gani? Anapenda nini? Anachukia nini?? Na ni kwa njia gani mtaweza kufika pale mnapopataka.Hawa wanaume ni watu wa kawaida sanaa ni kama watoto wadogo na hawahitaji elimu sana au wataalamu kuwajua au kuishi nao.
Inawezekana tukatofautiana kimawazo "feel free"
You are quite right mkuu..the problem with women is that all they think they know about men they have been told/learnt from their fellow women including their mammas..it goes like.."well, let me tell you what men are.." and unknowingly they take their mamma's man shoe and try to fit on their man's feet...not taking into consideration kwamba they are not the same men
Kuna wanawake wengine au wasichana bila hata kujua, wamejikuta wakipoteza wanaume wanaowapenda katika maisha yao.
Kwa sehemu kubwa, wanawake huwa hawanatafuti habari, taarifa au yanayowahusu wapenzi wao kutoka moja kwa moja kunakohusika.
Unajua wanachofanya? Watauliza wanawake wenzao, marafiki zao, wataalamu wa mapenzi, wanasaikolojia na kuamini kila watakachoambiwa ilimradi tu imani iko pale kwamba ule ni msaada tosha kwa mahusiano yake nyumbani.
Na wakati wanaacha sehemu husika, ambayo anaweza kupata kila habari bila gharama, bila usumbufu, bila kupoteza wakati na sio kwingine zaidi ya kukaa na mpenzi wako, kuongea nae taratibu na kujua zaidi ana wazo gani juu ya mahusiano yenu.
Anajisikiaje na kutafuta mambo mengi yanayomuhusu yeye kama ni mtu wa aina gani? Anapenda nini? Anachukia nini?? Na ni kwa njia gani mtaweza kufika pale mnapopataka.Hawa wanaume ni watu wa kawaida sanaa ni kama watoto wadogo na hawahitaji elimu sana au wataalamu kuwajua au kuishi nao.
Inawezekana tukatofautiana kimawazo feel free
Men never speaks the truth my dear
Mmmh!!! mbona mimi huwa naongea ukweli...
Hahahahahaaaaaaaaaaa! DO YOU REALLY EXPECT THE MEN TO TELL THE TRUTH? Hell no! You want the truth find it else where! Mwanaume takwambia uchotaka kusikia.
Mmmh hapana u men never say the truth,nna experience kwa kwel nshawah kukaa na mwandani wangu akaishia kunidanganya badala ya kunambia ukweli
Hapo ndio mnapokose sasaa mazungumzo ndio nguzo ya uhusiano unaenda kuomba ushauri kwa mwanamke mwenzio anakushaur vibaya unaachana na boy wako shortly unakuta aliekushauri anatembea nae xaxaa