Face massage

Real,hao viumbe ni moja ya ingridients kwa materials za kulainishia ngozi
 
Yereuuuuu, me hata kushika sitaki

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Una maana ni ingridients za lotions, etc...?
Kama ni kweli, nitaacha kutumia lotion.
ni kweli mkuu maana hata Revlon Lotion inatengenezwa na Jongoo wa maji chumvi na mabaki zaidi ya jongoo wale yanatengenezea Buble gum kama Big G, Gomba, na Bublish
 
ni kweli mkuu maana hata Revlon Lotion inatengenezwa na Jongoo wa maji chumvi na mabaki zaidi ya jongoo wale yanatengenezea Buble gum kama Big G, Gomba, na Bublish

I see..!! Kama ulijua vile kuwa natumia Revlon.
Sasa kama ni kweli, inabidi nitafute mbadala, labda sasa nianza kutumia mafuta ya kawaida kama mafuta ya nazi, mafuta ya ubuyu, etc.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…