F.A Cup Manchester Utd vs Fulham

F.A Cup Manchester Utd vs Fulham

Martin jol kocha wa fulham kapita mbele yangu nimemshika makalio kacheeeka!ningemshika kocha julio ningeambulia ngumi ya pua!lol
 
Goal for UNITED Rooney dakika 50.
 
Goal for UNITED Javier Hernanez (Njegere) MAN U 3-0 FUL.
 
Dakika ya 60 timu zote zinafanya mabadiko Fulham anatoka Daff anaingia Rodallega.

MAN U anatoka Carrick anaingia Scholes.
 
Goal for UNITED Chacharito...MAN U 4-0 FUL.
 
Fulham wanafanya mabadiliko anatoka Ruiz kaingia Dejagah.

MAN U nayo wamefanya mabadilko kaingia Kagawa na Valencia wametoka Anderson na Giggs.
 
Dakika 76 Fulham wanapata bao la kwanza Hughes.
 
Fulham wamezidiwa kwenye mechi ya leo.
 
Dakika ya 90 mpira umekwisha MAN U 4-1 FULHAM.

Kila la heri wanabodi.
 
mfarisayo, dakika ya 15 Nani anakosa goli la wazi.

Hongera kwa kunogesha thread, mi Luis Nani ni bonge la Floppy hafai hata kuuzwa anatakiwa kutolewa bure tu. Mi nilikuwa kwenye jukwaa letu huwa sihami huko wakati wa mechi.
 
Back
Top Bottom