F-35 Has Crashed At Hill Air Force Base

F-35 Has Crashed At Hill Air Force Base

Zinatumika sana ndio maana zinapata ajali. Nenda India kawaulize kwanini Migs zao zinapata sana ajali kuliko za Urusi, Egypt au kwingineko. Air Marshall wao mmoja aliwahi sema ni bora apate ajali nyingi kipindi cha amani kuliko kufikia vitani marubani wake hawajui kuzitumia ndege katika extreme conditions.

Urusi huwa inafanya war games na drills kwenye mazingira mazuri kabisa, matokeo yake hawawezi rusha ndege anga la Ukraine kufanya aerial denial na kuweka no fly zone mpaka leo.

Na ajali za ndege zinapimwa kwa vitu vingi, number of flights, idadi ya ndege kwenye operations, flight hours, n.k. Tafuta list ya worst airplanes kwenye safety uone zilivyojazana Tupolev na Antonov za Mrusi.

Safety records zinaonyesha F-35 ni very safe tafuta uzisome data zake. Na tukienda kwenye ratio, Russia ana Su-57 hata kumi hazifiki ukiachana na prototypes ambazo hatuzihesabu, ila Su-57 moja iliwahi anguka, so technically zaidi ya 10% ya Su-57View attachment 2392835
Wakati F-35 zipo zaidi ya 800 na humohumo zipo B na C version za Marines na Navy ambazo kwa kawaida hupata ajali nyingi kuliko za Airforce. Yani hapo unalinganisha safety standards baina ya ndege ya maonyesho ambayo hakuna hata squadron iko available dhidi ya ndege zinazofanya kazi nchi tofauti duniani kuanzia Japan, South Korea, Israel, UK, US na kwingine
Hapa angalau umenijibu MKUU

Ila kuhusiana na RUSSIA na fly zone mboba mnaikomalia sana hii

No fly zone kaiomba sana Elensky NATO waieke inamaana gani !!?

Pia RUSSIA kama miundo mbinu kambi nk kaharibu na anaendelea no fly zone ya nn!!?

Shida mnataka SVO iende mnavyotaka nyie wakat RUSSIA wenyewe wanataka iende kama walivyo plan

Mnashangaza!!!
 
unatype ukiwa umevaa boxer made in CHINA , kiwanda kinachomilikiwa na mmarekan halaf unawaita wapigaj , bas kuwa makin na hiyo boxer isije raruka mabash tukaiona iyo ndogo yko
Kunywa maji mengi dogo

Hakuzuii upigaji wa Us
 
Nyinyi mpaka leo Su-57 haina injini yake yenyewe. Hata ndege 10 tu hamna, mnazo za kupigia picha. Wakati Marekani ina F-22 zaidi ya 180 na LM imeunda F-35 zaidi ya 800. Hamna hata squadron moja ya stealth fighter, China yenyewe ikikaa miaka 10 inawapiku hatua ndefu.
Hata T-14 Armata mnazo chache za kufanyia parade pale Red Square
Reality
JamiiForums-782243307.jpg
 
Huyo bado hajui chochote kuhusu Russia hana tofauti na Zelensky anaekula daily
Anajifanya mjuaji ila ukimuambia f35 zimeuzwa kwa kusifiwa tu ni bado zilifaa kuwa kwenye majaribio jitu linashupaza shingo
Ya russia imedondoka juzi kwenye makazi ya watu imeua watu 11 ....ndege kudondoka sio ishu njoo na habar nyingine ya chuki...sio hii
Umeona ngapi zimecrash? Fualitilia kwanza. And why F35? Ambazo mmezifia saaana, huko juu nimekupa mifano kama 6 ya haraka achia mbali zile walizoficha taarifa
 
7



Ndio maana nakwambia wewe bado. Urusi si inazo Su-75 Checkmate kwenye makaratasi na kwenye designing bureaus. Ikitokea wanataka kuitumia sasa hivi wanaweza?

Wanazo T-14 kwenye maonyesho na sherehe. Wakienda vitani watazitumia?

Wanayo Su-70 Okhotnik kama stealth bomber. Iko kwenye makaratasi na kwenye designing phase. Wakienda vitani wataitumia?

Wanazo Armata universal platforms na Bumerang kwenye maonyesho. Vitani watazitumia?

Kwenye silaha hatuzingatii ambayo haijapokelewa kwenye vikosi. Kama ingekuwa hivyo basi hadi sasa tungekuwa tunaihesabu Sukhoi Su-47 Berkut ambayo ni forward swept wing. Waliiunda ikakamilika ila wakaamua wasiilete kwenye matumizi, sababu wanazo.

Hiyo Su-57 iko assigned wapi ndani ya Russian Airforce? Ndege zinazoendeshwa na test pilots wa JS Sukhoi ndio unatishia nazo. Yani uko unatishia mtaa na gari la Masudi Kipanya linalofanyiwa majaribio wakati watu wanazo Kirikuu mtaani
Ni ajabu pro NATO wengi wanapenda kujifananisha kila Mara na Urusi.
F35 imedondoka wanaanza kufananinisha mbona hata su 34 nayo imeanguka juzi

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
lete kwa kiswahili[emoji52]
Kituo cha Jeshi la Wanahewa huko Utah kilianguka mwisho wa kaskazini mwa njia ya ndege, kulingana na mrengo huo.
Rubani ametolewa na wafanyakazi wa dharura wanajibu.

Mrengo huo haukutoa maelezo ya ziada katika tweet yake. Tumewafikia kwa taarifa zaidi na tutasasisha hadithi hii itakapokuja.

Imeletwa kwenu kwa hisani ya Google Translate.
 
Zinatumika sana ndio maana zinapata ajali. Nenda India kawaulize kwanini Migs zao zinapata sana ajali kuliko za Urusi, Egypt au kwingineko. Air Marshall wao mmoja aliwahi sema ni bora apate ajali nyingi kipindi cha amani kuliko kufikia vitani marubani wake hawajui kuzitumia ndege katika extreme conditions.

Urusi huwa inafanya war games na drills kwenye mazingira mazuri kabisa, matokeo yake hawawezi rusha ndege anga la Ukraine kufanya aerial denial na kuweka no fly zone mpaka leo.

Na ajali za ndege zinapimwa kwa vitu vingi, number of flights, idadi ya ndege kwenye operations, flight hours, n.k. Tafuta list ya worst airplanes kwenye safety uone zilivyojazana Tupolev na Antonov za Mrusi.

Safety records zinaonyesha F-35 ni very safe tafuta uzisome data zake. Na tukienda kwenye ratio, Russia ana Su-57 hata kumi hazifiki ukiachana na prototypes ambazo hatuzihesabu, ila Su-57 moja iliwahi anguka, so technically zaidi ya 10% ya Su-57View attachment 2392835
Wakati F-35 zipo zaidi ya 800 na humohumo zipo B na C version za Marines na Navy ambazo kwa kawaida hupata ajali nyingi kuliko za Airforce. Yani hapo unalinganisha safety standards baina ya ndege ya maonyesho ambayo hakuna hata squadron iko available dhidi ya ndege zinazofanya kazi nchi tofauti duniani kuanzia Japan, South Korea, Israel, UK, US na kwingine
Hivi wewe jamaa,niambie,USA na hata hao NATO waliwahi kuweka no fly zone wapi?
Nitajie
 
Back
Top Bottom