kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,360
- 9,599
Nimeona hata nisimjibuFicha ushamba wako unajua vizazi vya SU na MIGs wewe?
Tumia bando vizuri
Nimeona hata nisimjibuFicha ushamba wako unajua vizazi vya SU na MIGs wewe?
Tumia bando vizuri
Haya hana uwezo nyie wenye uwezo hizo F35 mbona zinapukutika kwa ajali,Russia ananunua suicide drones kwa sababu hana uwezo wa kuzitengeneza kwa sasa na wakati ndio anazihitaji. Kama angeweza asingenunua kutoka Iran na asingeweka production plant kwake. Na bado atanunua missiles za Iran napo sijui mtasemaje.
Ukimwambia Russia tengeneza suicide drones on your own anatapatapa, yeye alikazania helicopters
Bora jamaa, 😎😎Nimeona hata nisimjibu
Vingi ila kati ya hivyo vingi vipo obsolete. Mwaka 2022 ila superpower anatumia hadi T-64 vitaniNadhani ni vile wanazo nyingi, so which one comes in first, depends on the current situation and needs
F-35 zinapata ajali kwa sababu zipo. More than 800 units. Su-57 hazipati ajali kwa sababu hata 10 hazifiki. Tangu F-35 ziwe introduced duniani zilisharuka flight hours zaidi ya 500,000. Masaa laki tano, angani wakati Warusi hizo Su-57 hata masaa alfu tano huyapatiHaya hana uwezo nyie wenye uwezo hizo F35 mbona zinapukutika kwa ajali,
Nimekuona umekwepa kujadili UZI una- deviate kwenye SU57 🤣🤣🤣🤣 turudi kwenye meza ya.majadiliano, tufanye su57 hazipo😅😅
Unajua f22 sipo ngapi? Ushawahi kusikia TZ ina silaha za aina ngapi na kwa quantity ipi? Achana na sifa za mitandaoni ndio maana hata bajeti ya wizara ya ulinzi hupitishwa na Bunge.bila kuhojiwa na hakuna cha Audit, unaelewa maana yake?F-35 zinapata ajali kwa sababu zipo. More than 800 units. Su-57 hazipati ajali kwa sababu hata 10 hazifiki. Tangu F-35 ziwe introduced duniani zilisharuka flight hours zaidi ya 500,000. Masaa laki tano, angani wakati Warusi hizo Su-57 hata masaa alfu tano huyapati
Urusi kununua silaha kutoka Iran haimaanishi ameishiwa silaha bali anacho jaribu kufanya ni kupunguza gharama za vita kwasababu silaha kutoka Iran ni gharama ndogo ukilinganisha na silaha zake,Russia ananunua suicide drones kwa sababu hana uwezo wa kuzitengeneza kwa sasa na wakati ndio anazihitaji. Kama angeweza asingenunua kutoka Iran na asingeweka production plant kwake. Na bado atanunua missiles za Iran napo sijui mtasemaje.
Ukimwambia Russia tengeneza suicide drones on your own anatapatapa, yeye alikazania helicopters
HIMARS zimesaidia nini na.majimbo4 yadhachukuliwa na jamaa katangaza.kuongeza3 yawe 7Vingi ila kati ya hivyo vingi vipo obsolete. Mwaka 2022 ila superpower anatumia hadi T-64 vitani
Watoto hawa hawatakuelewa. Hawajiuli wapi US the SUPAPAWA alishapigana pekeyake? Hata talebani waliwatoa jashoUrusi kununua silaha kutoka Iran haimaanishi ameishiwa silaha bali anacho jaribu kufanya ni kupunguza gharama za vita kwasababu silaha kutoka Iran ni gharama ndogo ukilinganisha na silaha zake,
Kingine anajaribu kulinda nguvu zake za kijeshi ,viongozi wa Urusi sio wapumbavu kiasi hicho eti wawe wanasomba silaha tu kutoka kwenye maghara na kupeleka Ukraine wakati wanatambua kuwa bado wana maadui kibao.
Alafu kingine silaha pekee za Iran zinazo tumika nchini Ukraine ni drone tu.
Alafu ukifuatiria drone za Iran zinatumika kulenga target za masafa marefu lakini kwenye msitari wa mbele naona Urusi ana tumia drone zake aina ya zara kulipua vifaru na vifaa vingine vya kijeshi kwa hiyo Urusi drone inazo.
Ila hizo drone za Iran ni kiboko yaani zinapiga target ya kilometa zaidi 2000.
Unajua kuwa Su-57 ni jibu la F-22. Su-57 ilipangwa tangu 1987 ila Soviet Union ikavunjika. Mradi ukaanzishwa upya mwaka 2002. Hapo Marekani alishaunda F-22 ashamaliza, akaunda hadi F-35 wakati bado Russia yuko anajikongoja na Su-57.Unajua f22 sipo ngapi? Ushawahi kusikia TZ ina silaha za aina ngapi na kwa quantity ipi? Achana na sifa za mitandaoni ndio maana hata bajeti ya wizara ya ulinzi hupitishwa na Bunge.bila kuhojiwa na hakuna cha Audit, unaelewa maana yake?
Haya one hujajua kama su57 ni operational na juzi zimemtungua su27 ya Ukraine nyumbani kwake ndio watu wanashtuka hapo ndio ujiulize kuna siri kiasi gani.
Silaha hutangazwa wakati wa.amani ili kutafuta ila sio kipindi chenye tension ya vita kama hiki. Kama unadhani zipo 10 basi US auze hizo f35 800+ kwa NATO members halafu abaki na f22 ambazo hakuuza hata pisi1 theni waivamie Russia
Najifunza mengi sana mkuu kutoka kwako,F-35 zinapata ajali kwa sababu zipo. More than 800 units. Su-57 hazipati ajali kwa sababu hata 10 hazifiki. Tangu F-35 ziwe introduced duniani zilisharuka flight hours zaidi ya 500,000. Masaa laki tano, angani wakati Warusi hizo Su-57 hata masaa alfu tano huyapati
Kuna mambo tunataka kuyaona in Action hizo F35 has proven ni prematurely produced, ni Israel pekee ndio alipewa license ya kuzifanyia modifications na sio nchi yeyote ile ya NATO hata UK. we jua tu makopo yenu yanadondoka kwenye mazoezi 😄😄😄😄😄Unajua kuwa Su-57 ni jibu la F-22. Su-57 ilipangwa tangu 1987 ila Soviet Union ikavunjika. Mradi ukaanzishwa upya mwaka 2002. Hapo Marekani alishaunda F-22 ashamaliza, akaunda hadi F-35 wakati bado Russia yuko anajikongoja na Su-57.
Au unadhani India ni wapumbavu walipoamua kujitoa kwenye hiyo project pamoja na kwamba walikuwa washalipa hela nyingi. Hakuna squadron hata moja, hata Syria Su-57 zilienda kupigwa picha. Uko Ukraine hakuna ndege ya Urusi inaingia deep within enemy territory. Hizo porojo unaamini, its very risky kupeleka hiyo ndege anga la Ukraine. Hakuna anayetaka aibu
Aibu kubwa ni hii. Technically zaidi ya 10% ya Su-57 zimedondoka, kwa sababu zilizopo hazifiki 10. Tena ilidondoka siku ya kwanza, na iliendeshwa na rubani wa kiraia. Ndio maana nakwambia hakuna Su-57 ya kufanya operation ndani ya Ukraine kwa vile hakuna kikosi cha Urusi chenye hizo ndege. Wanaoendesha ni marubani wa mtengenezajiKuna mambo tunataka kuyaona in Action hizo F35 has proven ni prematurely produced, ni Israel pekee ndio alipewa license ya kuzifanyia modifications na sio nchi yeyote ile ya NATO hata UK. we jua tu makopo yenu yanadondoka kwenye mazoezi 😄😄😄😄😄
Western media zote zime-mute juu ya hili kama halijatokea
unatype ukiwa umevaa boxer made in CHINA , kiwanda kinachomilikiwa na mmarekan halaf unawaita wapigaj , bas kuwa makin na hiyo boxer isije raruka mabash tukaiona iyo ndogo ykoMradi wa hovyo kabisa wa hizi ndege kutokea mwaka jana mpaka leo kama sio saba basi ndege tano zishaangushwa kwa upepo
Us taifa lawapigaji T14 Armata
Mimi ni plane spotter. Hata hivyo nazijua hizi kwa vile nasoma sana mambo ya ulinziNajifunza mengi sana mkuu kutoka kwako,
You are loaded with aviation information
SawaUtaelewa ukisoma ukiwa na dictionary
🤝🏻🤝🏻Sawa