B BORGIAS Senior Member Joined Jun 3, 2012 Posts 134 Reaction score 58 Jun 4, 2012 #1 Najua ataendelea kulalamika mpka mwezi wa 10. sasa why not have a single thread ili tuendelea kupata burudani za malalamiko yake huyu jamaa? mimi naenjoy sana kusoma malalamiko yake kila kukicha. Sitaki kumdismiss maana ndio kawaida ya system ya Tanzania
Najua ataendelea kulalamika mpka mwezi wa 10. sasa why not have a single thread ili tuendelea kupata burudani za malalamiko yake huyu jamaa? mimi naenjoy sana kusoma malalamiko yake kila kukicha. Sitaki kumdismiss maana ndio kawaida ya system ya Tanzania
P PhD JF-Expert Member Joined Jul 15, 2009 Posts 4,924 Reaction score 4,595 Jun 4, 2012 #2 mwache mjinga huyo mshamba, alizani kazaliwa kuwa waziri , huwa ananifurahisha anavyovaa zile mokas za kichina akitembea zinainuka kwa mbele
mwache mjinga huyo mshamba, alizani kazaliwa kuwa waziri , huwa ananifurahisha anavyovaa zile mokas za kichina akitembea zinainuka kwa mbele
Ncha JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 254 Reaction score 24 Jun 4, 2012 #3 hakuna haja, asubiri hatma yake mwenyewe. alidhani ni kazi ya maisha!!! ngoja aprnde kizimbani ndio ukweli utajulikana
hakuna haja, asubiri hatma yake mwenyewe. alidhani ni kazi ya maisha!!! ngoja aprnde kizimbani ndio ukweli utajulikana
PakaJimmy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 16,202 Reaction score 8,787 Jun 4, 2012 #4 Threads zote zimo humu ndani, yeyote hata wewe waweza kutengeneza database ya vilio vyake. Ndio mjue sasa kuwa falsafa ya Mwalimu iliyosema cheo ni dhamana haikuwahi kueleweka nchini.
Threads zote zimo humu ndani, yeyote hata wewe waweza kutengeneza database ya vilio vyake. Ndio mjue sasa kuwa falsafa ya Mwalimu iliyosema cheo ni dhamana haikuwahi kueleweka nchini.
IKHOIKHOI JF-Expert Member Joined Jan 30, 2012 Posts 366 Reaction score 41 Jun 4, 2012 #5 Ni kweli cheo ni dhamana: Lakini Viongozi wetu wamefanya ccheo kuwa ni amana
Watu Platinum Member Joined May 12, 2008 Posts 3,231 Reaction score 1,472 Jun 4, 2012 #6 BORGIAS said: Najua ataendelea kulalamika mpka mwezi wa 10. sasa why not have a single thread ili tuendelea kupata burudani za malalamiko yake huyu jamaa? mimi naenjoy sana kusoma malalamiko yake kila kukicha. Sitaki kumdismiss maana ndio kawaida ya system ya Tanzania Click to expand... Atafika wa kumi kweli kabla hajapigwa pingu? ....
BORGIAS said: Najua ataendelea kulalamika mpka mwezi wa 10. sasa why not have a single thread ili tuendelea kupata burudani za malalamiko yake huyu jamaa? mimi naenjoy sana kusoma malalamiko yake kila kukicha. Sitaki kumdismiss maana ndio kawaida ya system ya Tanzania Click to expand... Atafika wa kumi kweli kabla hajapigwa pingu? ....