PostGE2025 Ezekiah Wenje: Waliogombea Urais Tanzania hawakupinga ushindi wa Samia

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa Nyamagana, Ezekiah Wenje, amesema kuwa uchaguzi mkuu uliofanyika nchini Tanzania uliendeshwa kwa utulivu mkubwa katika maeneo mengi, akibainisha kuwa wagombea wote 17 wa Urais hawakuwahi kupinga matokeo ya uchaguzi wa Rais ambapo Dkt. Samia Suluhu Hassan alishinda, wala kudai kuwa kulikuwa na wizi wa kura- jambo analoliona kama hoja muhimu katika mjadala unaoendelea kuhusu uhalali wa matokeo na matukio yaliyofuata.

Akizungumza katika mahojiano maalumu na TV47 nchini Kenya, Wenje ambaye kwa sasa ni kada wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameeleza kuwa kati ya vyama 18 vilivyoshiriki uchaguzi, vyama 17 vilikuwa na wagombea wa Urais ambao hakua yeyote kati yao aliyewasilisha malalamiko ya kupinga matokeo kwa tume wala mahakamani.

"Tulikuwa na wagombea 17 wa Urais. Matokeo yalitolewa na kura tuliona lakini kitu cha muhimu zaidi ni kwamba hawa wagombea wengine wa Urais walikubali kwamba Rais Samia ameshinda na hamna yoyote aliyelalamika na hakuna mtu alipinga matokeo ya Urais"

ameeleza kuwa kati ya vyama 18 vilivyoshiriki uchaguzi, vyama 17 vilikuwa na wagombea wa Urais ambao hakuna yeyote kati yao aliyewasilisha malalamiko ya kupinga matokeo kwa tume wala mahakamani.
Hahahahha Wenje bwana, kwamba hajui hakuna mahakama inaruhusiwa kuhoji matokeo ya urais!!

Sasa alitaka wapinge wapi?
 
Hivi mnaokaa karibu na huyu kenge hamuwezi kumfundisha adabu kabla hajapewa huo uteuzi wake anao usubiria kwa hamu kutoka kwa huyo muuaji wake?
 
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya ziwa Victoria na Mbunge wa Nyamagana, Ezekiah Wenje, amesema kuwa wagombea wote 17 wa Urais hawakuwahi kupinga matokeo ya uchaguzi wa Rais ambapo Dkt. Samia Suluhu Hassan alishinda, wala kudai kuwa kulikuwa na wizi wa kura

"Tulikuwa na wagombea 17 wa Urais. Matokeo yalitolewa na kura tuliona lakini kitu cha muhimu zaidi ni kwamba hawa wagombea wengine wa Urais walikubali kwamba Rais Samia ameshinda na hamna yoyote aliyelalamika na hakuna mtu alipinga matokeo ya Urais"

Mpuuzeni huyu. Anataka akumbukwe angalau uteuzi
 
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa Nyamagana, Ezekiah Wenje, amesema kuwa uchaguzi mkuu uliofanyika nchini Tanzania uliendeshwa kwa utulivu mkubwa katika maeneo mengi, akibainisha kuwa wagombea wote 17 wa Urais hawakuwahi kupinga matokeo ya uchaguzi wa Rais ambapo Dkt. Samia Suluhu Hassan alishinda, wala kudai kuwa kulikuwa na wizi wa kura- jambo analoliona kama hoja muhimu katika mjadala unaoendelea kuhusu uhalali wa matokeo na matukio yaliyofuata.

Akizungumza katika mahojiano maalumu na TV47 nchini Kenya, Wenje ambaye kwa sasa ni kada wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameeleza kuwa kati ya vyama 18 vilivyoshiriki uchaguzi, vyama 17 vilikuwa na wagombea wa Urais ambao hakua yeyote kati yao aliyewasilisha malalamiko ya kupinga matokeo kwa tume wala mahakamani.

Amesisitiza kuwa hoja ya msingi katika kuelewa kilichotokea nchini ni kutenganisha jambo la maandamano na utaratibu wa upigaji kura, kwani kati ya 90% na 95% ya vituo vya kupigia kura-zoezi la kupiga kura lilikwenda vyema. Amebainisha kuwa changamoto zilijitokeza katika maeneo machache kama Dar es Salaam, Arusha na Mwanza, lakini kwa ujumla mchakato wa kupiga kura ulikuwa shwari.

Wenje ametumia nafasi hiyo kutuma pole kwa familia za Watanzania na Wakenya waliopoteza ndugu au kujeruhiwa katika matukio yaliyojitokeza wakati na baada ya uchaguzi, akisema kuwa ni muhimu mataifa ya Afrika Mashariki kuwekeza katika misingi ya amani na utatuzi wa migogoro kwa njia ya majadiliano.

Huyu Mzee wanamtindua mtaro?
Sasa unapingaje wakati katiba mbovu inasema tume aliyoiteua Raisi ikishamtangaza Raisi kuwa Raisi hata mahakama haiwezi kutengua.
 
Aliye karibu na wenje amnong'oneze kuwa zama zake za kisikilizwa na kuaminiwa ziliexpire kitambo!
Ni Kama anamshawishi paymaster wake ammalizie zilizobaki! Mjasiriatumbo tu huyo apuuzwe kuliko upuuzi wenyewe. Hao wagombea wa payroll watalalamikia nini ilihali account zao zimenona?
 
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa Nyamagana, Ezekiah Wenje, amesema kuwa uchaguzi mkuu uliofanyika nchini Tanzania uliendeshwa kwa utulivu mkubwa katika maeneo mengi, akibainisha kuwa wagombea wote 17 wa Urais hawakuwahi kupinga matokeo ya uchaguzi wa Rais ambapo Dkt. Samia Suluhu Hassan alishinda, wala kudai kuwa kulikuwa na wizi wa kura- jambo analoliona kama hoja muhimu katika mjadala unaoendelea kuhusu uhalali wa matokeo na matukio yaliyofuata.

Akizungumza katika mahojiano maalumu na TV47 nchini Kenya, Wenje ambaye kwa sasa ni kada wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameeleza kuwa kati ya vyama 18 vilivyoshiriki uchaguzi, vyama 17 vilikuwa na wagombea wa Urais ambao hakua yeyote kati yao aliyewasilisha malalamiko ya kupinga matokeo kwa tume wala mahakamani.

"Tulikuwa na wagombea 17 wa Urais. Matokeo yalitolewa na kura tuliona lakini kitu cha muhimu zaidi ni kwamba hawa wagombea wengine wa Urais walikubali kwamba Rais Samia ameshinda na hamna yoyote aliyelalamika na hakuna mtu alipinga matokeo ya Urais"

Shida ni kuwa NJAA IKIHAMIA KICHWANI KUTOKA TUMBONI NI TATIZO KUBWA. Hivi hamjui kuwa Yuda Iskarioti alikuwa mmoja wa mitume wa Yesu, vipande 30 vya fedha vilimpa nguvu ya kumsaliti. Huyu punda ndiye alikuwa mshenga wa Abdul kwa Mbowe, akakwama kwa Lissu. Huyu jamaa Lema alishamwita mpumbavu, na kweli ni mpumbavu wa kutosha. Kwani Tanzania ukishiriki uchaguzi akitangazwa rais unaruhusiwa kupinga? Huyu fala msaliti na yeye yatamkuta, mdogo wake aliuawa na hao hao CCM, na yeye amezidiwa na nguvu ya fedha, hajali aliyekufa anajali pesa.
 
Haya ndio masalia ya mbowe..... ! Including kina Yericco! Mbwa kabisa
 
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa Nyamagana, Ezekiah Wenje, amesema kuwa uchaguzi mkuu uliofanyika nchini Tanzania uliendeshwa kwa utulivu mkubwa katika maeneo mengi, akibainisha kuwa wagombea wote 17 wa Urais hawakuwahi kupinga matokeo ya uchaguzi wa Rais ambapo Dkt. Samia Suluhu Hassan alishinda, wala kudai kuwa kulikuwa na wizi wa kura- jambo analoliona kama hoja muhimu katika mjadala unaoendelea kuhusu uhalali wa matokeo na matukio yaliyofuata.

Akizungumza katika mahojiano maalumu na TV47 nchini Kenya, Wenje ambaye kwa sasa ni kada wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameeleza kuwa kati ya vyama 18 vilivyoshiriki uchaguzi, vyama 17 vilikuwa na wagombea wa Urais ambao hakua yeyote kati yao aliyewasilisha malalamiko ya kupinga matokeo kwa tume wala mahakamani.

"Tulikuwa na wagombea 17 wa Urais. Matokeo yalitolewa na kura tuliona lakini kitu cha muhimu zaidi ni kwamba hawa wagombea wengine wa Urais walikubali kwamba Rais Samia ameshinda na hamna yoyote aliyelalamika na hakuna mtu alipinga matokeo ya Urais"

chawa
 
Back
Top Bottom