EXTORTION 17:SEAL TEAM SIX DEATHS:Je ilikuwa ni mipango?

Nakapanya

JF-Expert Member
May 22, 2012
2,094
2,000
siku ya 6 August 2011 ni siku ambayo helikopta ya kijeshi ya marekani iliyobeba askari wa jeshi la marekani wakiwemo SEAL TEAM SIX ilitunguliwa huko Afghanistani,kwa ujumla ndani ya helikopta hiyo kulikuwa na millitary personaly 38 ambao wote walipoteza maisha katika ajali hiyo. Katika helikopta hiyo walikuwepo 17 Navy SEALs, makomandoo 7 wa Afghanistan mbwa mmoja na wanajeshi wengine kutoka units mbalimbali za jeshi la Marekani.

Siku ya tukio ambayo helikopta hiyo ya kijeshi ya marekani ilitunguliwa ilikuwa imewabeba millitary ellites ambao walikuwa wanakwenda kuwasaidia wanajeshi wenzao waliokuwa kwenye mapigano makali na wanamgambo wa kitalibani,oparesheni ilikuwa ina lengo la kumkamata kiongozi mmoja wa Taleban aliyekuwa maeoneo hayo ya Tangi Joi Zareen,katika wilaya ya Sayd Abad. Lengo la o lilikuwa ni kumkamata kiongozi huyo akiwa hai.Wengi wa SEALs members waliokuwa kwenye helikopta iliyotunguliwa ni wale walioshiriki katika kummua Osama Bin Laden.

Wakati helikopta ikiwasili katika eneo husika (target area) inasemekana kuwa askari wa kimarekani waliokuwa kwenye helikopta waliwaona wanamgambo wakiingia kwenye jumba la gorofa na kuwa walikuwa kwenye position ambayo makomandoo hao wa kimarekani wangeweza kuwashambulia na kuwamaliza wanamgambo hao lakini kutoka na order iliyotoka ya kutowashambulia ndio iliyopelekea wao kuwa wahanga wa kutunguliwa,pia kutokana na "New rules of engagement" ambazo Raisi Barack Obama amekuja nazo ndizo zilizosabisha wanajsehi wengi wa Marekani kuuawa,kaitika rules mpya of engagement,hawaruhusiwi kushambulia kama watahisi kuwa eneo hilo kuna raia,adui wanaijua rule hiyo na ndio maana wamekuwa wakijificha kwenye majengo au maeneo ambayo kuna raia hivyo kupta urahisi wa kuwashambulia majeshi ya kimarekani.

Watu wengi wakiwepo wana-ndugu na wanafamilia wa marehemu waliouawa katika shambulio hilo wanaamini kuwa kama shambulio hilo lilipangwa,
  1. kwanza wanahoji ni kwa vipi helikopta hiyo iliyowabeba makomandoo hao haikuwa na back up ya kuwalinda pale watakopukuwa wanashuka kama ilivyozoeleka?
  2. Pia wanahoji kwanini ripoti ya kijeshi yenye kurasa 1300 amabyo inaelezea tukio hilo imefichwa?
  3. Black box ambayo huwa inatunza kumbukumbuza ndege haijapatikana? maofisa wa jeshi huko Washington wanasema kuwa black box ilisombwa na mafuriko yaliyotokea ghafla,lakini wataalamu wanasema kuwa blackbox ina teknolojia ambayo inaiweza kuifanya kuonekana (traced) hata kama ilienda baharini sasa iweje wao washindwe kuipata hiyo black box?
  4. Wale makomandoo saba wa Afghanistan ambao walipata kwenye helikopta muda mchache kabla ya kuruka hawajajulikana details zao na wanasema inawezekana kuwa hao ndio ambao walivujisha habari kwa watalibani.
  5. Drone employed kwenye eneo hilo je haikuonyesha uwepo wa wanamgambo hao waliowatageti makomandoo hao wa Markani?Washington wanasema drone iliyokuwepo eneo hilo iliharibirika kamera yake hivyo kushindwa kuripoti matukio,wazazi wa waliofariki wanahoji kwanini kama drone ilikuwa haifanyi kazi isirudishwe kwenye base?wanahisi huu ni mpango uliopangwa wa kuwamaliza makomandoo hao
  6. Inaaminika pia kuwa wale wa-Afgahnistan waliopanda kwenye ile helikopta ndio waliojilipua kwa mabomu waliyovaa na kusabisha watu wote na mbwa wa kijeshi kuungua kiasi cha kutotambulika kabisa,na hii ilisemwa na maafisa wa Washingtoni.
  7. Bwana Billy Vaughn mmoja ya wazazi wa makomandoo waliofariki ameonya waziwazi kuwa na wasiwasi wa kuwa mtoto wake pamoja na wanajeshi wengine waliuawa kwa mipango maalumu,alimuomba Raisi Barack Obama kufanya uchunguzi na kulitolea tamko lakini mpaka leo bwana Obama amekuwa kimya kabisa.
Mmoja wa wazazi wa wahanga wa shambulio hilo kutokana juhudi zake binafsi alifanikiwa kupata ripoti ya siri iliyoonyesha picha za wahanga hao wwa shambuli hilo,moja ya picha ni ya mwanawe inamuonyesha nywele zake zikiwa hazijaungua kabisa kabisa,pia macho yake bado yaliweza kuoneka na kutambulika tofauti na Washington walosema kuwa miili iliungua kbisa kiasi cha kushindwa kutambulika.alipowauliza maafisa hao wa washington kuhusu suala hilo na kuwaonyesha picha walishtuka sana na kushangaa ni wapi alizipata picha hizo,waliahidi kumrudia na kufanya nae mahojiano lakini mpaka leo imekuwa kimya.  • Wengi wa wamarekani wanamlaumu Raisi Barack Obama na utawala wake kuwa ni corrupt,pia wanasema kuwa ni mdini na mwenye kuubeba uislamu.Katika mazishi ya makomandoo na askari waliouawa kwenye shambulio hiloinasemekana alialikwa shekhe wa kiislamu tu kwenye ibada ya mazishi ambapo shekhe huyo alisema kuwa marehemu hao ni makafiri na wanastahili kwenda kuzimu,kwenye misa hiyo hakukuwa na mwakilishi yeyote wa kikristu.
  • Hayo ni machache lakini yapo mengi sana yanayozungumzwa juu ya tukio lile,kwa kufuatilia matukio mbalimbali yenye uhusiano na tukio hilo je,ni kweli kuwa SEALS TEAM SIX together with other millitary who were on board been murdered?-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
 

nzalendo

JF-Expert Member
May 26, 2009
7,818
2,000
maisha ya binadamu yanathamani kuliko kitu kingine chochote....wao walikuwa wa mpango wa kuua lakini imetokea wakauawa hayo ndio malipo ya muuaji ''kama ukielewa hilo bila ushabiki kwa kudhani marekani ndo viumbe kuliko viumbe wengine wa dunia hiii' dunia itakuwa mahali salama.....
 

lubasazi

Member
Nov 13, 2013
39
0
inasemekanaaa 'obama' alihitajaji majeshi yake yarudi hom lakini yatarudi hom vp hali ya kuwa atafutwae hajapatikana?!hivyo'wakatengeneza movie hiyo,ila waliogopa wale askari wangesema ukweli wakirudi hom kwamba hakuna cha osama wala nn!hivyo waliona bora wawauwe ili kuficha ushahidi.
 

Nakapanya

JF-Expert Member
May 22, 2012
2,094
2,000
inasemekanaaa 'obama' alihitajaji majeshi yake yarudi hom lakini yatarudi hom vp hali ya kuwa atafutwae hajapatikana?!hivyo'wakatengeneza movie hiyo,ila waliogopa wale askari wangesema ukweli wakirudi hom kwamba hakuna cha osama wala nn!hivyo waliona bora wawauwe ili kuficha ushahidi.

ni kweli na ndio maana watu wanasema kwanini mwili wa Osama haukonyeshwa?inasemekana kwenye ile oparesheni Osama hakukamtwa na kuna video imevuja ambayo inaelezea ukweli wa mambo na wataalamu wa mambo wanzidi kuitafuta hiyo video ili kuidhihirishia dunia uukweli
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions
Thread starter Title Forum Replies Date
Dive Mkusanyiko wa vitabu vya seal team six epubs Jamii Intelligence 15

Similar Discussions

Top Bottom