External yangu aina ya Toshiba ina matatizo

External yangu aina ya Toshiba ina matatizo

king004

Senior Member
Joined
Dec 12, 2019
Posts
104
Reaction score
110
Nina tatizo na external yangu ya Toshiba 1 Tb.

Ukiconnect kwenye laptop unasoma ila ukitaka ku transfer files zinagoma kuingia.

Nimejaribu kuitoa ktk case yake wapi, pia nmechange ule wire pia Hola.

Nimejaribu ktk pc ingne pia ni hivyo hivyo.

Msaada tafadhali
 
Jaribu kucheck drivers za pc yako,kama ukiona kuna error update hiyo driver, toshiba naziaminia yangu ina mwaka wa 8 sasa
 
Back
Top Bottom