external hardrive(msaada wa haraka jaman)

Kaka Kapo

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2012
Posts
547
Reaction score
350
Ninaexternal hard disk ya GB 500 nikiiconnect na computer inawaka taa then inazima afu haiconnect tena kama kuna mtu alowahi kuexperience shida hii please nisaidie solution! Na kama imekufa is there any means to recover my data?
 
ijaribu kuichomeka kwenye PC nyingine tofauti na hiyo uliyotumia.

chomeka, kasha iwashe PC. angalia kama tatizo litajirudia au la.
 
Bila shaka hiyo iyskua transend kama ni yenyewe either uliichomoa bila kuistop wakat video ina play au unacopy items kama nilivosema hayo ni kweli basi ichongee jeneza
 
Uki prove kuwa sio Physical Damage na ina data sensitive unazozihitaji tunafanya recovery.
Hosanna Higher Technologies

We do recover:
  • Deleted Partitions
  • Deleted Files ad Folders (even if you emptied recycle bin)
  • Corrupt Mac-type, GPT and Normal Hard Disks Partitions Table
  • Data Cloning to New Disk from Aging disk (that cannot copy)
  • Corrupt MBR rendering System Unbootable

Kama unadhani data hizo sio muhimu sana tunaweza tumia hapa kama darasa ila kuna possibility uka mess up na disk na kuzipoteza forever. Sweet part of data recovery 🙂
 
ijaribu kuichomeka kwenye PC nyingine tofauti na hiyo uliyotumia.

chomeka, kasha iwashe PC. angalia kama tatizo litajirudia au la.

Mkuu nimejaribu kuconnect kwenye pc ingine na kwenye mac na pia nimebadili kichwa cha kuconnect cha external nyingine inayofanya kazi bado tatizo lipo vile viile
 
(1) ukiichomeka PC inasoma (japo huwezi kuona content?
(2) kama inasoma, je kuna data za muhimu humo? Namaanisha; kama inasoma ila ni taa tu haiwaki na hauwezi kufungua mafaili yake ni heri uifomati.
 
Ikichomekwa ina washa taa ya kuonyesha imeconnect than taa inazima na haiwidetected na computer ila inasskika kama inafanya kazi!
 
Ya kwangu kuna wakati ilikuwa inasumbua hivyo hivyo, ilikuwa inagoma kusoma! Mwisho, ilikubali.
 
Back
Top Bottom