External hard drives zinauzwa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

External hard drives zinauzwa.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by makaomakuu, Jan 22, 2011.

 1. m

  makaomakuu Member

  #1
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  WanaJf wote naomba kutoa tangazo la kuwa ninauza Portable external Hard disks za
  Seagate.
  500GB kwa Tshs 160,000/=
  na
  1TB kwa Tshs 230,000/=
  unaweza kuzitumia kwenye operating system yoyote;Linux,unix,MAC OS,Windows...
  Tunatoa offer mbalimbali linganifu na idadi ya disk utakazohitaji na hii ni maalumu kipindi hiki cha mwezi wa february(mwezi wa wapendanao)
  Kwa atakaje hitaji naomba ani-PM.
  Asante.
   
 2. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #2
  Jan 22, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,142
  Likes Received: 866
  Trophy Points: 280
  Uko wapi?
   
 3. K

  Kosmio Senior Member

  #3
  Jan 22, 2011
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 128
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Tupatie Model ya hizo HDD.
   
 4. m

  makaomakuu Member

  #4
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  seagate.
   
 5. m

  makaomakuu Member

  #5
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nipo Dar Salaam...mitaa ya Bamaga.
   
 6. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #6
  Jan 22, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  ok mkuu bei ni risanabo tu nitakuunganishi
   
 7. m

  makaomakuu Member

  #7
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Karibuni wote kwa vifaa vya uhakika na bei inayojari mteja.
  Asante.
   
 8. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #8
  Jan 28, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nitakutafuta Seagate ni vitu vya ukweli sana.
  kwanza kamata PM kabisa.
   
 9. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #9
  Jan 29, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mkuu mimi natafuta external CD ROM kama unazo nishtue!nina mini laptop nilikua nahitaji hiyo external CD ROM.
   
 10. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #10
  Jan 29, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Samahani mkuu, hivi seagate ni model au brand?....
  Unaweza kuwa na internal za ukubwa huo? nipe bei tafadhali.
   
 11. m

  makaomakuu Member

  #11
  Jan 29, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Samahani...hatuna internal disk kwa sasa.
   
 12. K

  KyelaBoy JF-Expert Member

  #12
  Jan 30, 2011
  Joined: Nov 9, 2008
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bamaga kubwa kaka je ni karibu/mkabala na nini tuje tukutembelea kwa kuwa umesema una vitu vingi vya kuuza
   
 13. m

  makaomakuu Member

  #13
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu tutafutane.....vitu ni vya ukweli kabisa.
   
 14. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #14
  Feb 8, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Umeulizwa ni Bamaga chocho zipi? watu wanataka wafike ofisini pasonali!
   
 15. m

  makaomakuu Member

  #15
  Feb 8, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaka kwa sasa ndo bado tunahangaikia ofisi pamoja na TIN...Ila tunapatikana kwa mawasiliano ya simu tu..na ukihitaji vitu sisi tunafika hadi kwako na tunakuonyesha mzigo.
  Asante.
   
 16. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #16
  Feb 8, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160

  kuna guarantee hata ya wiki moja hapo kweli?
   
 17. m

  makaomakuu Member

  #17
  Feb 8, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Guarantee ni maika mitatu....Mzee ukitutafuta ndo utajua sisi ni wa ukweli.
   
 18. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #18
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Wakuu mko juu! kwa hiyo kitu ikileta matata ndani ya mika mitatu mnanipatia nyuu wan? senks
   
 19. m

  makaomakuu Member

  #19
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu Amoeba huu ni wakatu Mzuri sana wa kutujua kama sisi ni wa ukweli au sio.Naomba ututafute na ununue disk hata moja tu afu endapo itaharibika hata kama ukiiangusha sisi tutakupa nyingine bila ya Longolongo.
  Sisi tulishaondoka kwenye ujasiliamali wa uongo uongo tu .
  Hatuna ofisi kwa sababu ambazo nilizieleza hapo juu.
  Asante.
   
 20. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #20
  Feb 18, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mkuu samahani sijakutafuta ila weekend hii nitakusaka ili tumalize ila biashara yetu.
  Asante.
   
Loading...