Jaribu Just Computers-Millenium Business Park, Opp TOTAL, last time i bought a 1Tb external HDD for 280!
Mimi nauza 500GB for 200,000 mpaka 195,000 na 320 at 140,000TZS zote hizo
Mimi nauza 500GB for 200,000 mpaka 195,000 na 320 at 140,000TZS zote hizo
Bei nzuri mkuu, brand?
Wana JF ninahitaji kupata External Hard drive 320GB au 500GB. Mwenye access nayo naomba anijulishe nitaipataje na kwa bei gani.
Location yangu kwa sasa ni Dar es salaam.
NIko Mtoni natia timu TZ ijumaa kupiga kura 500GB kwa laki 350 kama inalipa sema nikuletee
Mimi ninazo 500GB na 1TB aina za seagate.Wana JF ninahitaji kupata External Hard drive 320GB au 500GB. Mwenye access nayo naomba anijulishe nitaipataje na kwa bei gani.
Location yangu kwa sasa ni Dar es salaam.