GB 750Telabyte 7.5 au GB750?
Samahani wanajukwaa nimepatwa na tatizo la external harddisc inaukubwa GB 7500 yangu kuanguka na kusabisha kutokusoma. Nimewaona mafundi kadhaa sijapata msaada wowote. Kwa mwenye ufahamu plz naomba msaada kurejesha data zangu muhimu.
Sahihi, wengi wanaweza kula pesa yako na kuiharibu zaidi. Its better umpate ajuaye . If me ningeifungua na kubaini tatizo NDO naenda kwa mtaalam wa hardware'read/write header' imepata shock na kutoka sehemu yake, ni mtiti kidogo kutafuta fundi mzuri kuibadili
Kiongozi siwezi kupata msaada kabisaSahihi, wengi wanaweza kula pesa yako na kuiharibu zaidi. Its better umpate ajuaye . If me ningeifungua na kubaini tatizo NDO naenda kwa mtaalam wa hardware
Call sam4peny@gmail.com or email me on the addressKiongozi siwezi kupata msaada kabisa
Umaanisha nn hapo kiongoziKama platter imepasuka au ku kwaruzika hiyo tupa tu Ila kama uko fresh read/write head sio issue data zako utapata
Umaanisha nn hapo kiongoziKama platter imepasuka au ku kwaruzika hiyo tupa tu Ila kama uko fresh read/write head sio issue data zako utapata