Explosion at the Chilean embassy in Rome

Explosion at the Chilean embassy in Rome

kachumbari

Senior Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
126
Reaction score
9
Leo italia wameingiliwa mabomu yamelipuka kwenye ubalozi wa uswiss na chile na yote yametumwa kwa parcel.hii imekaaje?
 
Hizi bomu za mtandao wa Rostam Aziz Afrika Mashariki kwenda kuwadhuru ndugu zetu Wa-Uganda tukayajadili kiundani kwanza ndio tuvuke bara letu. Na Italia (jirani na makao makuu ya Kanisa Katoliki duniani) inapopigwa bomu kwenye parcel, harufu gani inakuingia puani hapo?????

Wenzetu wa Chile na Italia poleni sana kwa hayo mashaibu.
 
hali bado tete katika jiji la Rome, one security guard wounded at the Swiss Embassy!
 
hizi bomu za mtandao wa rostam aziz afrika mashariki kwenda kuwadhuru ndugu zetu wa-uganda tukayajadili kiundani kwanza ndio tuvuke bara letu. Na italia (jirani na makao makuu ya kanisa katoliki duniani) inapopigwa bomu kwenye parcel, harufu gani inakuingia puani hapo?????

Wenzetu wa chile na italia poleni sana kwa hayo mashaibu.

kumbuka yalitokea tanzania na kenya yakaenda america na ujue na sie watanzania tuna ubalozi wetu na ndugu zute kule.tunaomba wajihadhari.
 
Daaah....!! hii ni kutokana na chuki na kutokuelewana baina ya wanadamu, kweli binadam ni mnyama hatari kuliko simba, maana mabomu na makombora hutengenezwa kwa ajiri yake.
 
– 23 mins ago:
ROME (Reuters) – An explosion occurred at the Chilean embassy in Rome, police said on Thursday. There were no further details.
The explosion occurred hours after a package exploded at the Swiss embassy in Rome, injuring one person seriously.
(Reporting by Roberto Landucci)
 
Haya jingine wamelishtukia UBALOZI WA UKRAINA arcoding to REUTERS FLASH - Suspect package found in Ukrainian embassy in Rome - ANSA
 
A third explosive package bomb found at Ukranian Embassy. Source CNN
 
Haya jingine wamelishtukia UBALOZI WA UKRAINA arcoding to REUTERS FLASH - Suspect package found in Ukrainian embassy in Rome - ANSA

Doh! afadhali : REUTERS FLASH - Ukrainian embassy in Rome says no dangerous items found after search of suspect package
 
Leo italia wameingiliwa mabomu yamelipuka kwenye ubalozi wa uswiss na chile na yote yametumwa kwa parcel.hii imekaaje?

Juzi kule Mbeya watu kadhaa waliteketea kwa moto wakati basi lao liliposhika moto,na siku ya nyuma yake wengine kule Shinyanga.Ikiwa nimekosea kidogo unaweza kusahihisha.Muhimu zaidi kwangu ni huu ujuha wako mambo ya wazungu kuyafanya makubwa hata kama si lolote.
 
juzi kule mbeya watu kadhaa waliteketea kwa moto wakati basi lao liliposhika moto,na siku ya nyuma yake wengine kule shinyanga.ikiwa nimekosea kidogo unaweza kusahihisha.muhimu zaidi kwangu ni huu ujuha wako mambo ya wazungu kuyafanya makubwa hata kama si lolote.

poleni sana,mbona sasa hukuweka tusome na tutoe pole zetu? Ulingoja mpaka sie tuanzishe ya hawa wazungu? Kumbuka haya yote yanahusisha binadam na kule wapo ndugu zetu wengi pia si vibaya ukijua na wakijua.
 
bora nikakae kijijni, nife na jembe huku nikinyonywa na mafisadi! aah, hapana,bora bomu kuliko fisadi!
 
Back
Top Bottom