Explain this

What to be explained? People I see or Building etc...
 
hapa napita tu!



Mkuu

Nyerere alisema wakati wenzetu wanakwenda sayari ya Mars basi Sisi twende kuanzisha vijiji vya Ujamaa
hayo mambo ya namna hiyo ni mazito sana nyakati hizi.
 
hapo kuna mechanical suspension system inayopita ktk hyo fimbo mpaka mkononi , then inafichwa na nguo to its base aridhini. hakuna mazingaombwe hapo
 
mi naona sangoma wawili wamebebana kijanja halafu watu wengine wanawashangaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…