Expiry date ya wanawake!!!

Inategemea na unavyojitunza maana wapo wa 20-28 ukiwaangalia utafikiri wazee.
 
Hii thread inagusa hisia za kukera ama kufurahisha kama ile ya watu wafupi na tabia zao. Kuweni makini ktk kuleta mada za namna hii
 
kama kuna ukweli ndani ya haya maneno,basi balaaa yaani karibia napata expiry date???na wakati sijayala maisha bado vizuri???hii kareeee

Jestina,asikutishe huyo,the best is yet to come for you!
 
"expiry date" kwa wanaume mbona iko karibu zaidi kuliko kwa wanawake?
Wewe uliyeleta mada ujue kila "unapofanya" unakaribu ku-rip!
 
On average;
Muda wa kupendeza na kuenjoy maisha 20-28 yrs
Above 28 year, choka mbaya..


Whew! so including ur momma? Tell me sth, when ur wife hits 28 you'd start calling her 'choka mbaya' ?

And what exactly choka mbaya @ 28 implies? In terms of having more kids, starting a job, getting a promotion, or sheer face beauty ?
 
Resach ya CHOKA mbay ya mwanamke ni pale tu matiti yanapokuwa yamelala, hata aweje yakilala yamelala tu, afanye plastic surgery bado yatalalatu. hicho ni kipimo tosha kinachoonekana. vinginevyo ajaribu U Miss kama ataweza. atapigwa puuuuuuu.
 
kama kuna ukweli ndani ya haya maneno,basi balaaa yaani karibia napata expiry date???na wakati sijayala maisha bado vizuri???hii kareeee

Anza kuyala usiku na mchana ili kufidia uliyoyaruka.
 
ilo ndo tatizo la kukurupuka,ila jina lako inaweza kuwa ndo chanzo cha topic ulopost si unajiita mwendawazimu,,,,hamna ukweli hata robo wa maada yako
 
jamani sasa tunachoka na hoja za watoto wa college, usiwazungumzie wale unaoweza kuwafikia wewe tu
 
Back
Top Bottom