danali JF-Expert Member Joined Jan 30, 2012 Posts 1,135 Reaction score 1,675 Jul 31, 2012 #1 mke alishindwa kuvumilia alipomuona mumewe ameinamia cheti cha ndoa yao kwa mda mrefu akaamua kumuuliza. Mke: mume wang mbona ni muda mref unangalia iko cheti. Mume: natafuta expire date siiyoni.... Mke hoiii
mke alishindwa kuvumilia alipomuona mumewe ameinamia cheti cha ndoa yao kwa mda mrefu akaamua kumuuliza. Mke: mume wang mbona ni muda mref unangalia iko cheti. Mume: natafuta expire date siiyoni.... Mke hoiii