Experienced website developer needed

Experienced website developer needed

Ultimate

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2016
Posts
739
Reaction score
1,890
Hellow bosses!,
natafuta Experienced website developer kwa ajili ya kutengeneza website
hii website ni kama airtaskers ya austalia au fixchap ya hapa Tz
hii ni kwaajili ya mtu akitaka uduma anaenda kwenye website anarequest booking mtoa huduma (service provider) akikubali mteja anafanya malipo na kusubirh huduma, mtoa huduma anaweza kukubali au kukataa request
alafu pia ili mtoa huduma aweze kujilist kwenye hii website anatakiwa alipe fee ili post yake iyonekane na watu waweze kufanya booking
mfano wa features:
service provider A/c
- aweze ku accept au ku cancel request
-wateja waweze kutoa Review na ratings
-chat options "sehemu ya mesegi" kati ya service provider na mteja
-aweze kulisti garama za huduma anayotoa
A/c ya mteja:
-aweze kutuma request kwa service provider
-atoe review na rating kwa service provider
-aweze kumtumia Sms service provider
-aweze kufanya malipo online
-aweze kutoa malalamiko kuhusu service provider
Na features nyingine
website developer awe na uwezo angalau Kutumia HTML na CSS nk
njo Pm kwa maelezo zaidi
 
Sasa mkuu kuna experienced web developer ambaye hajui CSS na HTML? Btw, weka dau...
 
Kaka nipo experienced developer. Natengeza websites kwa kutumia codes, na naandika from scratch. Java script, php, htlm css ndio zangu. Vip tunaeza fanya kazi?

Back
Top Bottom