Experience yangu ya mapenzi na watu wazima (wamama)

Watu wamepewa midomo yakusema lakini wewe ndiye muamuzi wa hisia zako... wanaokusema pengine wanawaume zao ama wanawatu wao wanawakidhi haja zao sasa wanakuwa hawamuangalii huyu aliye mpweke... tupijitafutie furaha zetu wenyewe tusisubilie kupewa kutoka kwawatu wengine
Sema ndo fedheha wenzao wakijua wanakuona mshenzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wamepewa midomo yakusema lakini wewe ndiye muamuzi wa hisia zako... wanaokusema pengine wanawaume zao ama wanawatu wao wanawakidhi haja zao sasa wanakuwa hawamuangalii huyu aliye mpweke... tupijitafutie furaha zetu wenyewe tusisubilie kupewa kutoka kwawatu wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
Hisia zakinyonda
Sio kinyonge hvyo
 
Daah eti mifupa

Sent using Jamii Forums mobile app
Eh wanakuacha mifupa wala huhemi vizuri nanilino imewakaa moto ukiweka maji ya tokota halafu hujapewa hata nauli wala breakfast.
Ila wazeee wewe unaachwa hadi uamke unaordewa breakfast unaoga ukula unapapetiwa hadi raha .
Dah nyie raha bado shopping bado hela ya matumizi hata wamama walio na vijana ndio wanawafanyia hivyo.
 
Niliwahi date na mtu mzima tumbo flat na ni mzuri sana kama mr world yaani ni handsome balaa .
Ila wanaume wengi wadogo wanajua mahali pake kweli kushusha pumzi hadi raha.
Tofauti hawana shukurani .
Wababa wanayooo.
Nilienjoy sana kwa huyo baba mengii anajua kutunza anajua kupenda anakujali jamani.
Hawa vijana wao huanza na kukuzima pumzi tu unaenjoy ila woiiii hawajui kucare and their resposibility .
Hiyo ndio different between A father and A son.
Baki huko huko kwa mtu mzima mzima acha mabaharia wadili na namba A

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm kwangu ilikuwa tofauti nilimpata mmoja alikuwa na miaka 42 japo alikuwa mke Wa mtu alikuwa na wivu sana..

Kuna wakat alikuwa hataki kabisa nishinde nyumban kwangu ilifika hatua anamjibu hovyo mume wake ili waachane..

Lengo lake lilikuwa ni aachane na mume wake na mm niachane na mke wangu tuoane nikaona huyu hafai nikamkimbia mapema sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha nikupe dondoo kidogo kwasisi tuliofuzu hii kozi yakudate wamama watu wazima tunavyofauru changamoto zao.

Ukitaka kufaidi mtu mzima usitembee na ambaye bado anamume, chukuwa mjane ama ambaye ameachika hapo utakuwa na uhuru sana bila uoga.

Wengi wao wanakuwa na watoto, hakikisha hauna mazoea na watoto wake kabsa yani hasa kama watoto niwakubwa wanaojitambua achananao mazoea na ikibidi wasikujue nawakikujua basi kuwa kauzu wakuone mkubwa tu kama baba yao.

Zawadi zao hawa wamama huwaga nizaajabu sana yani ukimpelekea hata ubuyu tu wa buku aisee atakuhusudu na ataula huo ubuyu hata kwa wiki nzima, pia mahitaji yao nimadogo sana hawanaga mizinga ya ajabu kwasababu wote wanakuwa tayari wanashughuli zao zilizosimama kwahiyo wanakuwa sio tegemezi.. labda wewe mwenyewe upende kumuhonga .

Wanapenda sana kutoa zawadi pia niwepesi sana kuguswa nashida zako nawanajitolea sana kukusaidia kifedha, kiushauli na support ya connection... hapo sasa kama mwanaume ukiwa MARIOO ndoivo utawafaidi lkn kwa mtu mwenye kufuata starehe tu kama mimi huwaga sifuati pesa sanasana huwaga nafurahia ushauli wao ktk masuala mbalimbali yamaisha na uchumi aisee wapo vizuri sana (hapo naongelea wenye above 45 yrs)

Wanajali sana pia niwasikivu nawanyenyekevu sana sana. Yani ukiwanaye nivigumu sana kupata sababu yakugombana na wanajiwahi sana kuomba radhi wanapojua wamekosea (kwenye hili kadri umli unavyozidi kuwa mkubwa ndivyo wanazidi kuwa wanyenyekevu zaidi)

Kwenye mapenzi sasa Daaah! Sijawahi kuangushwa kwenye hili... wanajituma sanaaa hata kama kachoka hukueleza kiustaarabu nasio kukupiga vikumbo kama hawa dada zetu... penzi wanatoa bila masharti yani akijisikia hamu anakwambia muonane maeneo yenu yakujivinjari ama wewe ukijisikia hamu ukimwambia wapo open sana na sio rahisi kuvuruga miadi muliyopanga...

Niwatu ambao wanajishitukia sana yani muda mwingi wanalinda penzi Lao lisipotee ndiomaana unaweza ukawa umeoa na akakuheshimu na akamuheshimu mkeo tena anaweza akawa anakupa zawadi uwapelekee watoto wako nyumbani so wanafanya hivyo ili kulilinda penzi Lao kwakupenda kile ambacho wewe mwanaume unakipenda (yani watoto wako).

Mfano mkitoka kwenda sehemu usipokuwa makini utarudi na pesa yako yote maana kama nimafuta ya usafiri ataweka yeye kwenye chombo chako na kama ni bills mlizotumia atakimbilia kulipia yeye na mnapoagana utashangaa anafungua pochi akupe noti kadhaa za shukran (naongea kwa experience ya zaidi ya wamama kadhaa niliotokanao) so kama unapenda kitonga brother hapo utapona kuhudumia.

Niwatu wanaoridhika sana kwa maneno zaidi kuliko vitendo vyako.. unaweza ukawa mbali nayeye ukampanga kwa maneno mazuri tu akakuelewa au pengine kama mmezinguana wanapenda suruhu (sijui ni suluhu, R na L zinanipiga chenga) hivyo sio rahisi kugombana ovyo.

Akikupenda sana kutoka rohoni mwake hakika hawanaga kujificha kabsa, yani wanakuwaga huru kabsa kujiachia nawewe hata kwenye kadamanasi... atakuita kazini kwake akutambulishe kwa wafanyakazi wenzake, akialikwa sherehe atapenda aongozane nawewe, akipata shida za kwenye mambo kadhaa atapenda kuongozana nawewe kama Mr wake ukamsaidie, kama anawatoto atakutambulisha hata kwa jina la Uncle wakati wanaona kabsa unaingia chumbani na mama yao... sasa brother wakifikia level hii kuwa makini sana kwasababu kunamadhara yafuatayo yanaweza kukupata....

Kama umeoa jiandae kukugombanisha na mkeo, yani wanapigaga majungu sana kuhusu mkeo ili mgombane abaki yeye tu akufaidi.

Wanakuwaga na mood swing za ajabu, yani sijui wakikumbukaga yaliyopita huko nyuma kwenye maisha yao wanajikuta wanaongea vitu flani vyaajabu au anaweza akakuandikia SMS ambayo utabaki unajiuliza hivi huyu ndo kaniacha AMA nini?!! Lakini yakipita masaa kadhaa utashangaa mwenyewe anakitafuta anaomba samahani tena naunyeyekevu wahali ya juu..

Siku ukisema umuache, my brother sio rahisi kiivyo (hapa nikwaaliye kupenda sana) wanakuwaga ving'ang'anizi unaweza kuomba dunia ipasuke ujifiche maana atajishusha kila sekta ilimradi tu muendelee namahusiano...

Shida yao nyingine kama alishawahi kumpenda sana jamaa flani kabla yako halafu jamaa akajirudi aisee jiandae kuachwa lakini kama wewe unamaajabu zaidi basi hakuachi (hawa watu wanajari sana hisia zao zaidi ya material things)

MY EXPERIENCE:
Binafsi ninapenda sana mahusiano ya mtu mzima yani from 45 onwards hata 100 yrs huko ( Msinishangae sipo pekeyangu, hii ni hulka tu kama ambavyo wengine wanavyopendelea watoto wa shule)

Age kubwa nilowahi kudate nayo ni 61 japokuwa hatukudumu tulikuwa tunapunguzana genye tu .. huyu alikuwa na watoto wazima na wajukuu kadhaa nahuyu ndiye aliyefungulia dimba (daah! Nilianza na namba kubwa sana eti?!) Huyu nimeshamuelezea hapo juu

Age inayofuata ni 50's ,huyu ndiye niponaye kwasasa, nimjane anawatoto wawili girs wote wapo chuo wananijua tu kama Uncle wao japokuwa wanafahamu what's going on between us, huyu mama namuheshimu sana na ananipenda sana, tukitofautiana anajiwahi sana kuomba yaishe, tukitoka mtoko nimtu anayependa kucover bills zote japokuwa siruhusu kitendo hiki kitokee mara kwa mara ingawa hujisikia vibaya pale ninapotake responsibilities zaku_pay bills, alifanikisha kuyavunja mahusiano yangu na mdada aliyenikutanaye maana alikuwa anampiga vijembe sana mpaka nikamuona mbaya kwangu nikamuacha (kwenye hili simlaumu she was right) lakini kichwa yangu ilikuwa bogus bana nikarudiana nayule dada lakini alichonifanya huyo dada wadau nimewaogopa zaidi hawa dada zetu... huyu mama hajaniacha yani ndiye amenishika mkono ktk kipindi chote nilichoyumba kimaisha... sijawahi kumpa pesa za kuniumiza zaidi ya zile zawadi na nauli za hapa napale just to be a gentleman to her, akihitaji pesa nyingi basi nikwaajili ya shida specific na akipata pesa ananirejeshea labda niikatae mwenyewe.

Hupendelea mazungumzo ya faragha sana na hapendi niwekaribu sana na watoto wake maana anawatoto wazuri sana babalai yani wamejaaliwa Shape alafu warefu na rangi wanayo, nywere wamejaaliwa yani ukiwaona huchoki kuwaangalia lakini ndoivo mimi ndio babayao sinabudi kuwaheshimu.

Age inayofuata ni 45, huyu hatukudumu sana.. tulidumu kidogo tu nikaja kujua anamume walitengana sasa mume karudi nikaona niwaache waendelee kulea ndoa yao. Huyu anawatoto wakubwa tu, chuo na secondary wote wakike

Age nyingine ni 42, huyu pia sikudumunaye sana kwasababu ya mood swing zake zilikuwa za ovyo sana, anaweza akatuma SMS yatuachane usiku wamanane alafu alfajiri unakuta kaomba msamaha kwa SMS kama Mia hivi... yani alikuwa haeleweki japokuwa kwenye mambo mengine hatofautiani sana nahuyo wa miaka 50's yani wanaendana sana.. nilimuacha japo kwa mbinde sana

Walio chini ya 40 hadi 35 hao kwangu siwaongelei kama watu wazima...

Namalizia kwakusema:
Namba A niwazuri sana kama nilivyosema hapo juu lkn shida yao ni watakuchelewesha kuoa maana wanawivu sana wanataka wabakie wenyewe tu tena wanatumia pesa ama ndumba kukuraghai usiwaache so my brother kuwanao makini.

Pia kama umeoa niwatu wanaoheshimu sana ndoa lkn sio wote, wapo washirikina watakuvurugia ndoa yako hasa mke wako (japokuwa hii tabia wanayo hata hao wadada wadogo)

Kwenye show brother simamia kucha vilivyo hawataki uzembe.... piga papuchq hakikisha akitoka hapo anaenda kuchukuwa PF3 akarudishiwe bao zake kwa drip ulizomkamua lakini kama unampapasa jiandae kuachwa tu nautajikuta unahonga sana ili kumuimpress...

Ushauli wangu kama umeoa naunapenda kutoka na mtu mzima basi toka na mtu mzima above 45, hawanaga risk sana kwenye ndoa, lakini hawa wa 30' mpaka 40's brother acha acha kabsa utarogwa nautagombanishwa sana na mkeo mpendwa.
Guys ninamengi yakuandika kuhusu experience yangu lakini ngoja niishie hapo.. nawewe unaweza ukachangia experience yako mkuu.

Hata kwa Wadada mnaweza kutupatia Experience yenu yakimapenzi kati ya Wababa na Sisi vijana inatofautiana nini, pia mnakumbana na changamoto zipi...
Asante...
Uzi tayari

Picha haihusiani na Uzi.View attachment 1430744

Sent using Jamii Forums mobile app


Ushauri mbaya sana huu, wajane wengi sana wameachiwa maradhi na waume zao waliotangulia mbele za haki....vijana msipende sana kuvamia watu tu, watawamaliza kwa kutaka maisha ya mkato.
 
Huyo hafai... harafu baharia kamili hachukui mke wa mtu bilashaka umejifunza kitu so next time chukuwa aliye single maana hao ndio wazuri zaidi
Mm kwangu ilikuwa tofauti nilimpata mmoja alikuwa na miaka 42 japo alikuwa mke Wa mtu alikuwa na wivu sana..

Kuna wakat alikuwa hataki kabisa nishinde nyumban kwangu ilifika hatua anamjibu hovyo mume wake ili waachane..

Lengo lake lilikuwa ni aachane na mume wake na mm niachane na mke wangu tuoane nikaona huyu hafai nikamkimbia mapema sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamaanisha kila mjane anamaradhi sio?
Acha kukaza akili mkuu usidhani hilo hatilijui, kupima afya nimuhimu tena watu hao huwaga wapo serious sana huwezi kuwakurupukia kimasihara kama hawa dada zetu.. wanahitaji protocols maana wanajijua wao niwatu wazima hivyo wanahitaji mtu mwenyekujielewa ambaye atatunza siri na heshima zao so through that way lazima mtajikuta mnapima afya zenu...
But ikitokea amekupa magonjwa hiyo ni ajari tu kama ambavyo unaweza kuipata kwahao wadada wadogo
Ushauri mbaya sana huu, wajane wengi sana wameachiwa maradhi na waume zao waliotangulia mbele za haki....vijana msipende sana kuvamia watu tu, watawamaliza kwa kutaka maisha ya mkato.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom