Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,764
Sema ndo fedheha wenzao wakijua wanakuona mshenziHao wagane sasa ndio hawataki wazee wenzao, wanataka mabinti wadogo ndiomaana hao wamama wanajikuta wanakuwa wapweke at the end wanatengeneza mazingira mazuri yakutoka na kijana mdogo ili wakidhi haja zao kama binadamu wengine
Sent using Jamii Forums mobile app