proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 7,352
- 11,252
nonsense
Dah!... Hii Kali... Kwenye hiyo list ya akina frola... Na frola machepele nimjuaye nae yumo!?Akina Flora wengi wanakuwaga wapiganaji sana kwenye maisha.
Wengi wanakuwaga smart sana kwenye mapambano ya maisha.
Na wengi wao huwa wanafanikiwa sana kiuchumi.
Sijawahi kumfahamu mwanamke anae itwa Flora ambae sio mpiganaji kwenye maisha.
Na wewe umeoa akina flora mkuuAiseee mm na wewe tuna bahati Sana
Mkeka wako ulichanika mapema sanaSema tangu tulipoachana msingi hatujawahi kuonana mpaka leo.
HahahaKuna Florah anafanya part time hapa kazini kwetu nadhani kila mtu kapiga pale, ptuu
Labda Flora wako, sio huyo niliekua naeAkina Flora wengi wanakuwaga wapiganaji sana kwenye maisha.
Wengi wanakuwaga smart sana kwenye mapambano ya maisha.
Na wengi wao huwa wanafanikiwa sana kiuchumi.
Sijawahi kumfahamu mwanamke anae itwa Flora ambae sio mpiganaji kwenye maisha.
angeniua yule mtoto kudadeki..