American nigga
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 890
- 1,511
Hii nimeiona lakini mpaka huo mfumo ukae kwenye rader na kua adaptable dunia nzima itakua 2090 huko kwahyo kwa kawaida itahitajika miaka mingine karibu 100 ili mfumo uweze kua acceptable all over the world so money is still worth in 100 years to come.In 2030 people would not need money...ELON MUSK
Uko sahihi sana.Bana nimeona watu wengi wakipambana na pesa kama ni jambo la maisha, lakini ukweli ni kwamba pesa ni kama chumvi, ukikosea utajua shida lakini ukiweka nyingi kwenye chakula unaharibu kila kitu. Niko na rafiki yangu mmoja mwenye mamilioni, lakini bado analala vibaya usiku kwa sababu anaogopa kuibiwa, na mimi niko na yangu lakini ninafurahi kuamka asubuhi na kunywa chai ya maziwa huku nikiangalia jua linachomoza. Kama hujui kufurahia maisha na kuna kitu kidogo kinakukasirisha, hata uwe na pesa nyingi utakuwa masikini wa akili. Ngoja niwaambie hivi, pesa ni muhimu sana kwa maana inakupa uhuru wa kuchagua, lakini kama unatumia muda wako wote kufikiria pesa na kusahau kuishi, basi umekosa kitu kikubwa zaidi. Furahieni maisha wadau, pesa itakuja na kupita, lakini kumbukumbu
Bana nimeona watu wengi wakipambana na pesa kama ni jambo la maisha, lakini ukweli ni kwamba pesa ni kama chumvi, ukikosea utajua shida lakini ukiweka nyingi kwenye chakula unaharibu kila kitu. Niko na rafiki yangu mmoja mwenye mamilioni, lakini bado analala vibaya usiku kwa sababu anaogopa kuibiwa, na mimi niko na yangu lakini ninafurahi kuamka asubuhi na kunywa chai ya maziwa huku nikiangalia jua linachomoza. Kama hujui kufurahia maisha na kuna kitu kidogo kinakukasirisha, hata uwe na pesa nyingi utakuwa masikini wa akili. Ngoja niwaambie hivi, pesa ni muhimu sana kwa maana inakupa uhuru wa kuchagua, lakini kama unatumia muda wako wote kufikiria pesa na kusahau kuishi, basi umekosa kitu kikubwa zaidi. Furahieni maisha wadau, pesa itakuja na kupita, lakini kumbukumbu
Vijana wanajifariji mno hivi hawaoni kama kabudi,kitila,katambi na mwigulu ni watu wenye akili timamu ila wanajitoa akili kwa ajili ya pesa? Hii inamaanisha pesa ni kitu muhimu mnoKwangu Bora stress ya pesa kuliko ya umaskini, endelea ku enjoy umaskini Kaka.
Vijana wanajifariji mno hivi hawaoni kama kabudi,kitila,katambi na mwigulu ni watu wenye akili timamu ila wanajitoa akili kwa ajili ya pesa? Hii inamaanisha pesa ni kitu muhimu mno
Nikwamba hao wanafanya yote hayo ili wapate pesa kwasababu wanajua umuhimu wake....siku fulani Kuna sheikh mmoja nilikutana nae wakati ameshaanza kujikatia tamaa lengo aende maka kuhiji ila Hana pesaKwa hiyo ukiwa na Pesa lazima uwe kama Kabudi au Mwigulu? Huwezi kuwa na Pesa na ukawa na misimamo yako?
Uko sahihi sana.
Mimi zamani nilikuwa nadhani eti ukiwa na pesa nyingi ndio stress zinaisha basi nikaanza kupambana cha ajabu nikashangaa kadri pesa zinavyoongezeka na stress zikawa zinaongezeka zaidi badala ya kupungua.
Asilimia kubwa ya watu wenye pesa hawalali kwenye majumba yao kwa kuhofia watavamiwa usiku na majambazi so inawabidi usiku waende kulala sehemu tofauti na majumba yao au wakeshe kwenye sehemu za starehe hadi asubuhi.
Kuna watu wachache sana ambao wameweza kuzicontrol pesa na kuishi maisha ya kawaida ikiwemo kujichanganya na jamii ambapo hii jamii inageuka kuwa ulinzi wako likitokea jambo lolote wanakupa ushirikiano wa kutosha
Watakuwa matajiri wa nchi ya kusadikikaMatajiri wa wapi hao Mkuu?
Watakuwa matajiri wa nchi ya kusadikika
Hata hao wa siasa nao si wana ulinzi safi kabisa ndio maana hatusikii kwamba kimewakuta chechote kile....hiyo inanikumbusha jamaa mmoja mtwara kabla hajaitisha adhana ya alfajiri alikuwa anaanza kutoa vitisho kuanzia saa 10 alfajiri.... anatoa vitisho mara gari hilo halina maana mbele za Mungu mara chumba chako unachojidai nacho ni kaburi hilo mara kitanda hicho ni mwanandani...Mungu mkubwa jamaa huko kijijini kwao ruangwa kwenye mashamba yao mwekezaji akawapa fidia akapata kama milion 10 hivi kwakweli hatukusikia zile kelele tenaSiku hizi ujambazi ulivyopungua. Labda kama anazungumzia Matajiri wanaojihusisha na siasa
Kuhusu kazi ya urais ni kweli ni ngumu kama huyo rais anatimiza majukumu yake kwa ufanisi maana lazima akutane na vizingiti ambavyo vitamlazimu achukue maamuzi ya kuumiza watu.yote kwa yote umasikini ni mbaya na masikini hupenda kujifariji sana.Maskini ni kiumbe anaejua kujifariji sana....ni kama maraisi wote wa Tanzania kwa nyakati tofauti walipodanganya kuwa ile kazi ni ngumu mno ila chakushangaza walikuwa wanang'ang'ania ili washinde chaguzi
Ni kama raisi gani uraisi umekuwa mgumu kwake?Kuhusu kazi ya urais ni kweli ni ngumu kama huyo rais anatimiza majukumu yake kwa ufanisi maana lazima akutane na vizingiti ambavyo vitamlazimu achukue maamuzi ya kuumiza watu.yote kwa yote umasikini ni mbaya na masikini hupenda kujifariji sana.
Matajiri wa wapi hao Mkuu?