Exorcism katika picha

Hiyo picha ta mwisho sijailewa. Anamtoa mapepo au, anataka kumuua? Nifafanulue tafadhali.
 
Exorcism ni rahisi sana kufanya wala haiitaji kufanya kama wanavofanya hao ,
Unasema tu nakuamuru katika jina la Yesu Kristo wa NAZARETH tayari.

Nimetilia mkazo nazareth sababu hata ulimwengu wa giza una Yesu kristo wao wenyewe ndo huyo anatumika na manabii feki wapiga deal.
 
Inasikitisha sana unapomuona mtu kaingiwa na majini anavyohangaika.
Unakuta mtu anakua na nguvu za ajabu na matendo ya ajabu kwa kweli majini yapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…