EXIM BANK na recurrent deposit acount

DATOGA

Member
Nov 17, 2011
82
24
Heshima yenu ndg wanajf.

Nimekuwa nikitafuta benki yenye Fixed Deposit A/C yenye RATE nzuri, na wakati nikiwa EXIM Bank naongea nao kuhusu rates zao ya kwamba ni higher than other banks ambazo nimepita kuangalia, though i told them am not yet convinced to deposit my money for 2 yrz then just grow for only 5%.

So yule Marketing Manager alipoona siko-convinced akaniambia waweza fungua akaunti inayoitwa RECURRENT DEPOSIT A/C ama HABA NA HABA ambayo ukiweka mfano 500,000/- (laki tano) within miezi 12 itakuwa 6,000,000/- (milioni sita).

Sasa ninawauliza wanajf hiyo ni kweli au ni mambo yale ya DECI?
I didnt believe and if its TRUE please tuchangamkieni guyz

Please mwenye UELEWA anijuze jamani, nisijedampo my money then at the end of the day naambiwa bcoz of economic reasons it didnt grow to that 6M.
 
aisee hii kitu imenivutia ngoja lakini naona kama ni ulongo tu kwani rate yao ikoje mpaka upate 6m na ni lazima uweke laki tano au any amount
 
Mkuu ukichanganya na zako kidogo tu unapata jibu, hakuna benki duniani inaweza kutoa faida that much.

a/c inaitwa haba na haba means unadeposit kidogokidogo, therefore 500,000/= * 12 = 6,000,000/= hiyo ni hela yako mwenyewe sana sana watakuongeza ka interest kiduchu. Huyo aliamua kukuzingua baada ya kuona umeshtukia dili lao.

Baadhi ya benki huwapa wafanyakazi wao bonus kwa kila kichwa wanachorubuni kufungua a/c au kuchukua mkopo, be ware! Siku hizi kuweka pesa benki si kwa ajilli ya faida, bali kujiepusha na extravagance tu.
 
Au alimaanisha 500,000 X 12 = 6,000,000 yaani, utakuwa usha'save millioni sita, na hapo labda interest rate 0%
 
Back
Top Bottom