Kwanza niwapongeze Kwa huduma zenu nzuri !!! Kwahilo mko viruzi namaanisha Hamna makato ya ajabu ajabu kama baadhi ya bank nyingine hapa inchi !!your good guys kwahilo!!! Tatizo lipo kwenye mobile App yenu!! .Nashida nimoja TU!!!
Mnataka Kila mwezi mteja wenu abadili nywira yani password Kwa Kila mwezi .Yaani mfano mwezi Jana nilitumia pasword flani namwezi huu napaswa nibadili pasword nyingine!!, namwezi ujao pasword nyingine yaani nimwendo wa nyingine nyingine nyingine +++++++ .Sasa basi zingekuwa simple pasword mfano Kwa kuweka namba Yako ya Siri tu .
Mnataka Zile strong pasword too complex with small letter number matakataka kibao hey!!! Why toomuch complex!!! Kingine Kila mwezi mnapofanya nayo mabiliko Mnataka tuapdate App yenu aseee!!!
Mnakera saana kwahili!! IT wa EXIM Bank ningekuwa boss wako Ningekufuta Kazi unaboa saana unatukwamisha saana !!! Kila ikifika mwisho wamwezi kimbembe daaah niishie hapo!!!