exim bank

Export Import Bank of Bangladesh PLC. commonly known as EXIM Bank is one of the private commercial banks in Bangladesh. The Bank came into operation as a commercial bank on 3 August 1999 as per rules and regulations of Bangladesh Bank. From its establishment the bank was known as BEXIM Bank Limited. But due to legal constraints, the bank was renamed as EXIM Bank, which stood for Export Import Bank of Bangladesh Limited.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Exim Bank, YST waimarisha uwekezaji kwa vijana wabunifu, miaka sita ya ushirikiano

    Meneja Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Exim Tanzania, Kauthar D’souza (kushoto), akisalimiana na Mwanzilishi Mwenza wa Taasisi ya Wanasayansi Chipukizi Tanzania (YST), Dkt. Gozibert Kamugisha (kulia), muda mfupi baada ya Benki ya Exim Tanzania na YST kuzindua ushirikiano wa mwaka 2026...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Exim Bank yaendeleza uwekezaji wa kijamii Zanzibar

    Na Mwandishi Wetu Zanzibar. Benki ya Exim Tanzania imeendelea kuthibitisha dhamira yake ya kuchangia maendeleo ya jamii kupitia mpango wake wa Uwajibikaji kwa Jamii (CSR) unaojulikana kama Exim Cares, kwa kutekeleza miradi inayolenga kuboresha sekta za elimu, usalama, afya na uhifadhi wa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Exim Bank, Africacarriers Kurahisisha umiliki wa Magari kwa Watanzania

    Mkuu wa masoko wa Africarriers Ltd Mohamed Ladha (kushoto) akielezea zaidi ubora wa magari kwa Menejimenti, Wafanyakazi na Wateja wa Benki ya Exim Tanzania baada ya utiaji saini wa makubaliano ya ushirikiano kati ya Africarriers na Benki ya Exim Tanzania yenye lengo kufadhili na kurahisisha...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Exim Bank, NBTS waendeleza mapambano dhidi ya Upungufu wa Damu

    Benki ya Exim Tanzania imeendesha zoezi la kitaifa la uchangiaji damu wa hiari kwa kushirikiana na Taasisi ya Taifa ya Mpango wa Damu Salama (NBTS), ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 11 ya ushirikiano wao unaolenga kuimarisha upatikanaji wa damu salama nchini. Zoezi hilo lililofanyika...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaishukuru Benki ya EXIM ya korea kwa mchango wake katika maendeleo nchini

    TANZANIA YAISHUKURU BENKI YA EXIM YA KOREA KWA MCHANGO WAKE KATIKA MAENDELEO NCHINI Serikali ya Tanzania imeishukuru Benki ya Exim ya Korea (KEXIM) kwa mchango wake mkubwa katika kuunga mkono agenda ya maendeleo ya taifa kupitia uwekezaji katika miradi ya miundombinu, maendeleo ya ujuzi...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Exim yarahisisha Miamala kwa Mfumo wa WhatsApp Banking

    Mkuu wa Kitengo cha Mifumo Mbadala ya kidigitali wa Benki ya Exim Silas Matoi (Aliyekaa Kulia), akizungumza wakati wa uzinduzi wa mfumo Exim WhatsApp Banking unaolenga kuwawezesha wateja wa Benki ya Exim kupata huduma mbalimbali za kibenki ikiwamo kuangalia salio, kuhamisha fedha, kutuma fedha...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Exim Bank yapanua huduma kwa wachimbaji Geita

    Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde (wa pili kutoka kushoto), ambaye alikuwa Mgeni Rasmi, akikata utepe wakati wa hafla ya ufunguzi rasmi wa tawi la Exim Bank Tanzania katika Mkoa wa Geita Region, akiwa pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Geita Mhe. Hashim Komba (wa tatu kutoka kushoto). Pia pichani...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Exim Bank Yaonyesha Moyo Wa Kujali Afya Geita

    Mkuu wa Wilaya ya Geita Mh. Hashim Abdallah Komba(kulia) akikabidhiwa moja ya vifaa vya hospitali vilivyotolewa na Afisa Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Exim Tanzania Bw. Stanley Kafu (kushoto) kwa lengo la kurudisha kwa jamii. Hafla hii imefanyika kama moja ya huduma za Benki hiyo...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Exim Bank Yanyakua Tuzo Mbili Kutoka Mastercard 2025

    Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. Shani Kinswaga, akipokea moja ya tuzo mbili kutoka kwa Makamu wa Rais Mwandamizi – Meneja wa Nchi, Afrika Mashariki na Visiwa vya Bahari ya Hindi wa Mastercard, Shehryar Ali (wa pili kushoto), wakati wa ziara ya Mastercard katika ofisi za Benki...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Exim Bank Wafanyakazi Loan: Watumishi wa Umma Wanufaika Kufanya Marejesho kwa Miaka 11

    Mkuu wa Mtandao wa Wateja wa benki ya Exim Tanzania, Agnes Kaganda (kati) akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya ‘Kopa KiBoss na Wafanyakazi Loan’ ambapo inakuwa benki ya kwanza nchini kumwezesha mtumishi wa umma kufanya marejesho kwa muda wa miaka 11 ambapo anaweza kuchukua kiasi cha...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Exim Bank Tanzania, JKCI Zashirikiana Kuimarisha Afya ya Wafanyakazi

    Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Exim Tanzania, Stanley Kafu (kushoto), Afisa Masoko Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Irene Mbonde, na Mkurugenzi wa hospitali ya JKCI-Dar Group, Dk. Tulizo Shem wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa zoezi la kufanya vipimo vya moyo na...
  12. Macbook pro

    JamiiForums Tanzania Exim bank huduma yenu ya app hairidhishi, technical team boresheni hili

    Habari za Kwenu Wadau! Nimeleta huu uzi kutoa uzoefu wangu na huduma za kibenki za Exim Bank. Exim Bank ukienda kwenye Branch zao wanahuduma nzuri na haraka tu unaondoka lakini kwenye application yao daah aisee .. Terrible and poor simbanking services. Nimeitumia kwa muda miezi sita kwa kweli...
  13. F

    JamiiForums Tanzania EXIM Bank Mobile App yenu inaboa sana!!!

    Kwanza niwapongeze Kwa huduma zenu nzuri !!! Kwahilo mko viruzi namaanisha Hamna makato ya ajabu ajabu kama baadhi ya bank nyingine hapa inchi !!your good guys kwahilo!!! Tatizo lipo kwenye mobile App yenu!! .Nashida nimoja TU!!! Mnataka Kila mwezi mteja wenu abadili nywira yani password Kwa...
  14. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Relationship Manager (HNI’s) at Exim Bank March 2025

    Job Description The purpose of this role is to offer personalized financial solutions and deliver exceptional service to high-net-worth clients. This includes addressing their unique financial needs, fostering long-term relationships, and enhancing customer satisfaction to drive business...
  15. B

    JamiiForums Tanzania EXIM bank yaingia Mkataba wa miaka mitatu na ZATI

    21 Februari 2025, Zanzibar – Benki ya Exim imeingia mkataba wa miaka mitatu na Chama cha Wawekezaji wa Utalii Zanzibar (ZATI) kwa lengo la kukuza na kuinua sekta ya utalii Zanzibar. Mkataba huo ulisainiwa na Mkuu wa Kitengo cha Fedha kutoka benki ya Exim, Shani Kinswaga pamoja na Mwenyekiti wa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Kifedha ya Exim Bank 2024 Yaonesha Mafanikio Makubwa na Ubunifu wa Kifedha

    Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim, Jaffari Matundu (katikati), akizungumza na wanahabari wakati wa kutangaza Ripoti ya Fedha ya 2024 ya benki hiyo, ikionesha mafanikio makubwa ya kifedha na ukuaji endelevu. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Rejareja, Andrew Lyimo, na Afisa Mkuu wa...
Back
Top Bottom