Are you sure malyenge (isijekuwa unafikiri kwa makengeza/Malyenge)
Naomba kuuliza vyombo vya habari na Jeshi la Polisi, kuhusu milipuko ya Mabomu Arusha.Kwanini hamja wahusisha na kuwakamata Waarabu safari hii? Au imetosha kupandikiza chuki za kidini nchini? Maasokufu hatuja sikia tamko lenu bado?.
Truth survives forever, it is beyond Propaganda, corrupt Politicians, fake religious figures and dubious Media.
Video ya Lwakatare mnaikubali, hii ya Mbowe mnaikataa, mnawachanganya WatanzaniaVideo ya Lwakatare mnaikataa hii Mbowe mnaikubali mnawachanganya Watanzania.
Wakuu.
Nimekutana na hii video nyingine ya mlipuko wa bomu la Arusha.
Bofya hapo chini
EXCLUSIVE VIDEO YA MKUTANO WA CDM ULIOSHAMBULIWA SOWETO ARUSHA - YouTube
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums.
Bado hata hii haina sehemu ya tukio la bomu kulipuka.maana inaonyeaha mziki unaendelea na baadae watu wamelala chini.hata kishindo cha bomu hakisikiki.nafikiri pia imekuwa edited na kuna kipande kimeondolewa...Mohamedi Mtoi asante sana niliingalia vizuri sana hadi mwisho, tukio lenyewe linaanza baada ya lisaa limoja dakika ya ishirini na moja sekunde ya hamsini plus (1:21:50..) Kuna watu ni mashetani zaidi ya shetani mwenyewe.