masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,581
- 20,218
- Thread starter
- #21
msogelee hapo anaeza akakulaza mahala pema peponi
Mkuu anashangilia anazomea?
Inaitwa double action
Kulikoni
za asubuhi jirani
Hahaha mgomvi wewe.
Ila yanga inaponzwa na yale marangi ya ccm. Ptuuu
Steve wa yeboyebo leo sijamuona yupo ICU nini au mochwari.....!!!????