Sasa nimeamini kwa 100% kwamba Lowasa kweli ni fisadi na mwizi mkubwa ambaye anastahili kuwa Segerea!
Embu angalia hata hawezi kumuangalia anayemuhoji machoni, anaona haya, sasa ni raisi gani wa nchi hawezi hata kutoa eye contact anaangalia pembeni?
Hii ni kwa wataalamu wa kusoma Body language watakwambia kabisa kwamba mtu yoyote yule ambaye hawezi kukuangalia mchoni (eye contact) huwa ni mtuhumiwa!
Siku ukimshika mwizi mtaani kwenu jaribu kumuangalia machoni halafu uone kama ataweza kukuangalia ni lazima ataangalia chini au pembeni kama vile fisadi Lowasa anavyofanya!