Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,266
- 44,690
Well mkuu...jana nilikua safarini kuelekea Tabora safari yangu ikianzia Arusha...sizungumzii kipande cha barabara tokea makuyuni hadi Babati lakini nimejiuliza maswali mengi sana...huwezi amini ni Tanzania hii yenye watawala watanashati hivi...kutoka Babati kufika Singida ni sarakasi tu kwenye gari kutokana na ubovu wa bara bara na vumbi ya kutosha...kikapita kitambo kidogo kabla ya kufika Nzega...In short Tabora hakuna bara bara ya kuelekea makao makuu ya mkoa..haya na mengine mengi yananifanya nijiulize kwanini CCM wanataka tu kubaki madarakani! Kwanini?
Mzee M.kjj wengine tuantumia mitandao iliyoko slow sana kudownload movie.

kama kocha halafu mwanao mchezaji. Lazma umpange. This was soooooo difficult to listen. Awaful! Love your passion mwanakijiji but u threw too many soft balls for dr. Slaa.
MWANAKIJIJI YOUR INTERVIEW IS GOOD BUT ACCORDING TO THE INTERVIEW TECHNIQUES IT IS NOT BETTER FOR THE INTERVIEWER TO SUPPORT EVERY TIME "YES', "YES' THIS IS SOMETHING BOTHER NOT PROFESSIONAL! YOU CAN EDIT YOUR JOB BEFORE YOU POST AND REMOVE SUCH OF MISTAKES! Do you know why? The interviewer needs to be neutral so when you say Yes what means? you agreed or you are supporting what the interviewee said? People who against the interviwee opinion could not listen you! Sorry the feedback is seem to be sharp but constractive feedback!
Thenkiyu!
mzee m.kjj wengine tuantumia mitandao iliyoko slow sana kudownload movie.
Well articulated by Dr Slaa, He is an inspirational leader this country can not afford to take him for granted, our country need leaders of Dr Slaa calibre to inspire people and bring them together towards common purpose