Rafiki yako alifanya makosa na akajirekebisha, wewe umebaki ukirudia kwamba amekosea hizo figures, kuwa mpole.Change lazima itokee tu, watu wataumia hiyo haina msalia mtume. Wewe unazani hizo ma3 zitakuwepo miaka 15 ijayo! Wakati huo Dar nzima itakua na BRT na commuter trains maendeleo yana tabia yakuambukiza. Uki ingia twitter wakenya wengi wanalalamika kwanini Dar wameweza ila hawaitaji Jo'burg. Ata SGR ya Tz ikianza kazi na nyinyi mtapata msukumo ku electrify yenu haraka. Kuna faida kuwa na ujirani na mtu ambae ana kimbia ili mkimbizane vizuri. Kingine madriver wa ma3 hawalipwi kama ulivyo sema sijui unatoa wapi hivyo viwango. Mtu anapata kadri anavyo pambana na kuna bad days na akiumwa hapati kitu.
Nionavyo mimi issue ni funds, serikali yenu ingekua na pesa ingesha anza ujenzi. Mambo ya kusubiri viwanda kujengwa mtasubiri sana. Kila mwaka vyuo vinamwaga vijana mtaani sasa useme kusubiri mpaka kila mtu apate kazi inakuwa ngumu. Wataji sort wenyewe wanaweza kwenda kulima maparachichi ata Brt inakuja na ajira ndiyo maana ingefaa mje Dar mjifunze ki ukweli siyo kuzuga. Kila stand ya Brt ina wakata ticket wawili kwenda juu na walinzi wawili ikitegemea na ukubwa wa stand. On average kila stand ina chukua wafanyakazi watano achilia mbali madereva na wafanya usafi. Hiyo hoja yako kwa mustakabali huo inakua imekufa.Thisdayes......wewe hunielewi,nakubaliana na wewe,change lazima iwepo na shida si implementation...shida ni priority....in economis lazima uprioritize ndio maana government zipo na budget....maendeleo lazima,lakini lazima uzingatia vitu muhimu kwanza...kwa mfano serikali inafaa kua imejenga viwanda ambavyo vita absorb hao vijana watakao temwa na mradi kama huu wa BRT...si ku assume kwenye wataenda....mambo ya mshahara wacha kubisha kaka...hio ndio pesa wanapata.
Ninakua mkali kama Atwoli akiwa kwa podiumRafiki yako alifanya makosa na akajirekebisha, wewe umebaki ukirudia kwamba amekosea hizo figures, kuwa mpole.
Let me make you the oneNipo njiani. Replacing mengi soon 😊
Hodi hodi majirani.US firm ranks Kenya as 'failed state' despite peaceful poll
Kenya ranked as 'failed state'www-nation-co-ke.cdn.ampproject.org
Hahahahaha, hahahahaha, hahahahaha.
Hamna pesa wacha kelele zako, mchina amekataa na pesa yake, mumeshindwa kumalizia reli na kuamua kuitelekeza porini. Wewe hujui unalozungumza unapiga Kelele hovyo hivyo tu hapa, SGR toka Naivasha hadi Kisumu inahitaji $3.68B, eti unasema hivyo vibarabara vya $1 vinaweza kujenga SGR, kwa taarifa yako, hata hizo barabara pia mnajenga kwa mikopo.Thisdayes......pesa ya kujenga BRT ni kidogo sana kwa economy ya nairobi....hivi sasa kuna expressway tatu zinajengwa kwa pamoja zitakazo gharimu zaidi ya $1....BRT ni nini sasa....nimejaribu kukueleza kwa nini ni ngumu ku implement mass rapid transport nairobi...lakini wewe umekwamilia tu....haya bas sina la ziada.
We have more than you.Hamna pesa wacha kelele zako, mchina amekataa na pesa yake, mumeshindwa kumalizia reli na kuamua kuitelekeza porini. Wewe hujui unalozungumza unapiga Kelele hovyo hivyo tu hapa, SGR toka Naivasha hadi Kisumu inahitaji $3.68B, eti unasema hivyo vibarabara vya $1 vinaweza kujenga SGR, kwa taarifa yako, hata hizo barabara pia mnajenga kwa mikopo.
Just for your information we are issuing another eurobond for $2.6 billion and it has already gotten a rating of B++. Which means the international market trusts Kenya. Pray do tell what is your rating on the international debt market?Hamna pesa wacha kelele zako, mchina amekataa na pesa yake, mumeshindwa kumalizia reli na kuamua kuitelekeza porini. Wewe hujui unalozungumza unapiga Kelele hovyo hivyo tu hapa, SGR toka Naivasha hadi Kisumu inahitaji $3.68B, eti unasema hivyo vibarabara vya $1 vinaweza kujenga SGR, kwa taarifa yako, hata hizo barabara pia mnajenga kwa mikopo.
Huo ni mkopo tu, sisi tunajenga SGR kutokana na internal revenue zetu, China walikubali kutupa mkopo ila tulisema wasubiri hadi tutakaposhindwa, ninyi ni aibu, eti China ilipokataa kuwapa mkopo baada ya kugundua mtashindwa kurudisha, mumeshindwa kumalizia mnaamua kuitelekeza porini.Just for your information we are issuing another eurobond for $2.6 billion and it has already gotten a rating of B++. Which means the international market trusts Kenya. Pray do tell what is your rating on the international debt market?
That is a driver's door, the other side of the bus has 3 passenger's doors.View attachment 1093387Acha ushamba, pevuka!
hiyo uliyopost ni two doors mmoja upo kwenye stika za NMBView attachment 1093387Acha ushamba, pevuka!
Sure na sidhani kama zina automatic doors with human body (non-metal) +metal sensors kama zetu.Lile bus lao a passenger on wheelchair haingii! Halafu kuna zile pedestrian road cross IRMAO yaani ni ngazi mlima kilimanjaro na hazina provision ya elevators! Fullu vimbwanga! Na nina uhakika gharama yake itakuwa juu ya DART!
acha uahamba ww angalia pale kwenye advert ya NMB kweli nimeamini watu wa NAi ni washamba [emoji23][emoji23][emoji23]Wewe vipi?, ipo wapi hiyo milango miwili, labda useme mlango wa pili upo upande wa kulia wa hili bus, lakini upande huu mlango ni huo mmoja pekee, labda kama huo mlango unaonekana kwa baadhi ya watu wachache sio kila mtu anaweza kuuona,(Invisible door)
BRT haiendeshwi na dereva mmoja wanashift ,kama wanaanza alfajiri kabisa anatoka kazini saa nane mchana anapokea mwingine hadi jioni...bus moja linatakiwa liwe na dereva watatu na wana off daysJanerose........one BRT bus inareplace 6-14 seater matatu...1- 14 seater matatu ina employ dereva moja na tout moja...bus moja ya BRT ina employ dereva mmoja tu....kwa hivo bus moja ya BRT inafuta vijana 11 kazi....vijana walikuwa kazi hawapo kazi tena,unafikiri wataenda wapi....shida yetu waafrika tunakimbilia projects hazimake economic sense......our economies are still tiny and largely agricultural.....our infrastructure growth should centre around agriculture for maximum impact....i.e in makueni county hapa kenya niliona gavana wa huko alishajenga kiwanda ya kuprocess juice...kumbuka huko wanakuza maembe mingi sana...kisha akatafuta market....saa hii vijana huko wakapata ajira,mkulima wa maembe akapata market,hizo juice lazima zipelekwe market,hapo dereva ashapata kazi,vijana wa ku offload lazima wapate kazi...kwa ufupi hio investment ya kiwanda ipo na ripple effects na watu wengi wakanufaika....economic development is organic,thats how you grow an economy...sikufanya projects hazisaidii watu.
Pesa ya kujenga BRT siyo kidogo ila pesa ya kuchora BRT ndiyo kidogo. Hivi mnajua barabara ya BRT nitofauti na lami za kawaida! Life span yake ni miaka zaidi ya 50, inawekwa heavy concrete. Hiyo Thika road life span yake ni 15 to 20 years. Wakenya hamjui chochote kuhusu BRT mna bwabwaja tu, karibuni Dar mjifunze. Mnajifanya mnaiga ya Bogota baada ya kuja Dar na kuona ya Dar ni maji marefu.Thisdayes......pesa ya kujenga BRT ni kidogo sana kwa economy ya nairobi....hivi sasa kuna expressway tatu zinajengwa kwa pamoja zitakazo gharimu zaidi ya $1....BRT ni nini sasa....nimejaribu kukueleza kwa nini ni ngumu ku implement mass rapid transport nairobi...lakini wewe umekwamilia tu....haya bas sina la ziada.