thisdayes
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,610
- 4,557
Kama mtaweka special roads kama Dar hilo halitakua tatizo kwasababu hizo bus hazito simama kwenye foleni. Unless huo umbali ni zaidi ya Km 100! Kwa jinsi Nairobi ilivyo ndogo sizani kama inazidi ata Km 25!Shida ya hizi basi ni inabidi watu wengi wasimame. Zimejaa hapa Europe. Ziko na very few seats na space kubwa ni ya kusimama. Huku distance yenye mtu anatravel huwa fupi so hakuna shida but Nai distance kutoka CBD hadi Adams Arcade au Pipeline au Donholm enyewe mtu hawezi simama it's too far. Afadhali hizi basi za saa hii sura mbaya zenye wame-squeeze viti pamoja lakini mtu anakaa chini akitravel.