yafuatayo ninapendekeza katiba mpya inayoyokuja yawepo
1. serikali 3 (tuwe na mawaziri wakuu 2 tanganyika na zanzibar na raisi mmoja wa muungano tanzania)
2. wakuu wa mikoa na wilaya hawafai tuwe na serikali ya majimbo
3. kila mwaka wa bajeti selikali iainishe ni vijana wangapi wamemaliza vyuo ngazi tofauti tofauti na kati ya hao wameajiriwa wangapi na wapi
4. upatikanaji wa wagombea ngazi tofauti tofauti iwe kama ilivyo sasa habari za wabunge wawili kila jimbo naina maana
5. elimu ya awali iwe form 4