Exclusive 2017: Picha mbalimbali za Jiji la Dar es Salaam

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,490
54,884
Heshima kwenu wakuu,

Naomba hii thread tuweke Picha mbalimbali za Jiji la Dar Es Salaam. Yaani tuweke picha za Maeneo tofauti tofauti kwa kumbukumbu za hapo baadae.

Leo nmefika Dar nikashangaa maeneo tofauti yamebadilika. Nikaona kuna umuhimu wa kuanzisha thread.

Hizi picha nimepiga Kinondoni Maeneo ya Victoria na Makumbusho, Barabara ya Moroco kwenda Mwenge.
e802f5ed-c84c-4241-8072-88cfcb012da5.jpg
9392b54f-85a6-49bd-87c8-67dcf1377bbe (1).jpg
4a75889a-dc0c-4074-8b96-e0d33d464472.jpg

Hapa ni Maeneo ya Victoria
822bf82e-0a9c-4c78-a5d5-c03dba3e2358 (1).jpg
3cd34dec-5302-4ad6-b30e-74163986f1f7.jpg

Hapa ni Maeneo ya Makumbusho.

Ntaendelea kuwaletea Picha za Sehemu tofauti tofauti za Jiji la Dar es Salaam.
 
hivi wewe yale makamera yao makubwamakubwa hauna? ndio nini kutuletea tupicha umetupiga na tu tekino twako ata atuoni vizur
Mkuu nmetumia Tecno yangu, ila naahidi kuleta picha nzuri zaidi za haya Maeneo. Ntaresend tena kama Vipi. Ila kitu cha muhimu ni kupata picha za sehemu mbalimbali za jiji la Dar. Kila mtu atumie kifaa alichonacho kwani kinachotakiwa ni Picha.
 
Back
Top Bottom